Featured Kitaifa

MAJALIWA ATETA NA WATENDAJI WAANDAMIZI WA BENKI YA EQUITY

Written by mzalendoeditor

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisamiliana  Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Equity Afrika Mashariki na Kati Dkt. James Mwangi  kabla ya mazungumzo yao, ofisini kwa  Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Juni 9, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na watendaji waandamizi wa benki ya Equity, Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Equity Afrika Mashariki na Kati Dkt. James Mwangi, Dkt. Joanne Korir Mkurugenzi wa Equity Foundation (wa tatu kushoto), Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Equity TanzaniaIsabella Maganga (Kulia kwa Waziri Mkuu) na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa Benki ya Equity Afrika Mashariki na Kati Joy Dibenedetto (wa tatu kulia), baada ya mazungumzo yao ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Juni 9, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor