Featured Kitaifa

MAJALIWA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA IKULU YA CHAMWINO

Written by mzalendoeditor

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelzo kutoka kwa Katibu Mkuu Ikulu, Dkt. Moses Kusiluka kuhusu maendeleo ya ujenzi wa Ikulu ya Chamwino, Dodoma, Juni 9, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa Ikulu ya Chamwino,  Dodoma, Juni 9, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kukagua ujenzi wa Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma, Juni 9, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Muonekano wa Ikulu ya Chamwino, Dodoma ambayo Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alikagua ujenzi wake, Juni 9, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor