Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya RaisĀ Ikulu (Kazi Maalum), George Mkuchika, bungeni jijini Dodoma,
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson kwenye ukumbi wa Spika, Bungeni jijini Dodoma Juni 8, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)