slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

deneme bonusu veren siteler

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

marsbahis giriş

NervEase

sapanca escort

google algoritma hack

escort sapanca

jojobet

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betnano

pusulabet giriş

vdcasino

grandpashabet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

teosbet

madridbet

marsbahis

imajbet giriş

interbahis

klasbahis

mavibet giriş

mavibet

klasbahis

goldenbahis

jojobet

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

alobet, alobet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

alobet, alobet giriş

holiganbet

restbet

casibom

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

timebet

trimology review

holiganbet

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

holiganbet

jojobet

holiganbet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

dinamobet giriş

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

tipobet

Pusulabet

grandpashabet giriş

Jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

istanbulbahis

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10 giriş

zirvebet

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

İkimisli

onwin

süperbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10

holiganbet giriş

jokerbet

jokerbet giriş

imajbet

imajbet giriş

interbahis giriş

imajbet

matbet

savoybetting

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

istanbul escort

deneme bonusu

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

betsat

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu

Hacklink Panel

palacebet

vdcasino giriş

bets10 giriş

interbahis

mavibet

imajbet

interbahis giriş

klasbahis

interbahis giriş

kralbet giriş

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

timebet giriş

casibom giriş

jojobet

jojobet

trust score weak 3

jojobet giriş

slot siteler

deneme bonusu 2026

imajbet

imajbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

casibom

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu veren siteler

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

holiganbet

deneme bonusu veren siteler

primebahis

betgar, betgar giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

madridbet

bets10

ilbet

ilbet giriş

deneme bonusu veren siteler

meritking

timebet

meritking

casino siteleri

bets10 güncel giriş adresi

betsat

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

deneme bonusu

jojobet giriş

zahnimplantate türkei

Ankara escort

Marsbahis - Marsbahis Giriş

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino giriş

mavibet

kulisbet, kulisbet giriş

grandpashabet

lunabet

norabahis

betasus

padişahbet

Google Search Console giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

casibom

holiganbet

dental implants turkey

holiganbet giriş

dental implants turkey

full mouth dental implants turkey

casibom

marsbahis

jojobet giriş

matbet

sekabet

pusulabet

vdcasino giriş

kingroyal

betist

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

Featured Kitaifa

TGNP YAKUTANA NA WADAU KUJADILI MWENENDO WA UKATILI WA KIJINSIA MSALALA

Written by Alex Sonna

Mwenyekiti wa Kamati ya Huduma za Msaada wa Kisheria mkoa wa Shinyanga, John Shija ambaye ni Mratibu wa shughuli zinazofanywa na TGNP Mkoa wa Shinyanga akizungumza wakati akifungua mkutano kuhusu Mwenendo wa hali ya ukatili wa kijinsia na namna ya kushughulikia matukio ya ukatili wa kijinsia kwa makundi ya watu wanaoshughulikia kesi za ukatili wa kijinsia katika halmashauri ya Msalala mkoani Shinyanga ulioandaliwa na TGNP kupitia UNFPA kwa ufadhili wa KOICA
 

Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) umeendesha mkutano kuhusu Mwenendo wa hali ya ukatili wa kijinsia na namna ya kushughulikia matukio ya ukatili wa kijinsia kwa makundi ya watu wanaoshughulikia kesi za ukatili wa kijinsia katika halmashauri ya Msalala mkoani Shinyanga kwa ajili ya kuangalia halisi ya ukatili w kijinsia.
Mkutano huo umefanyika Ijumaa Juni 3,2022 katika kata ya Segese halmashauri ya Msalala ikiwa ni mwendelezo wa kazi ya Mradi wa Usawa wa Kijinsia na Uwezeshaji wananchi kiuchumi Mkoa wa Shinyanga katika halmashauri ya Msalala unaotekelezwa na TGNP kupitia Shirika la Kimataifa la UNFPA kwa ufadhili wa KOICA.
Makundi yaliyoshiriki katika mkutano huo ni Wawakilishi wa Vituo vya taarifa na maarifa kata ya Lunguya na Shilela, Idara ya afya, maafisa ustawi wa jamii, jeshi la polisi, mahakama,walimu, viongozi wa kata, watu maarufu na Wasaidizi wa Kisheria.
Akifungua Mkutano huo, Mwenyekiti wa Kamati ya Huduma za Msaada wa Kisheria mkoa wa Shinyanga, John Shija ambaye ni Mratibu wa shughuli zinazofanywa na TGNP Mkoa wa Shinyanga amesema licha ya jitihada kubwa zinazofanywa na serikali katika mapambano dhidi ya ukatili wa kijinsia bado panahitajika nguvu za ziada kwa kuhakikisha kila mmoja katika jamii anashiriki kutokomeza ukatili wa kijinsia ikiwemo kutekeleza kwa vitendo Mpango wa Taifa wa Kutokomeza Ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto (MTAKUWWA).
“Leo tumekutana katika mkutano huu kwa ajlli ya kujadili mwenendo wa ukatili wa kijinsia na namna ya kushughulikia matukio ya ukatili wa kijinsia. Mkutano huu utasaidia kuonesha mafanikio tuliyopata tangu Mradi wa Usawa wa Kijinsia na Uwezeshaji wananchi kiuchumi Mkoa wa Shinyanga katika halmashauri ya Msalala unaotekelezwa na TGNP uanze mwaka 2020 na kutupatia mikakati thabiti ya kupambana na kukomesha mila kandamizi kwa wanawake na wasichana ndani ya jamii”,amesema Shija.
Miongoni mwa changamoto zilizoibuliwa katika mkutano ni pamoja na kesi za matukio ya ukatili wa kijinsia kuendelea kumalizwa kifamilia na baadhi ya viongozi wa serikali za mitaa kudaiwa kuwa sehemu ya wakwamishaji wa mapambano dhidi ya mimba na ndoa za utotoni kwa kuendekeza rushwa na kushiriki kumaliza kesi za matukio ya ukatili wa kijinsia kifamilia.
“Kuna baadhi ya viongozi wa serikali za mitaa (wenyeviti wa vijiji na vitongoji) wanakwamisha mapambano dhidi ya ukatili wa kijinsia, wanatumia kesi hizi kwa maslahi yao binafsi”,amesema Katibu Msaidizi wa Kituo cha Taarifa na Maarifa Shilela, Joseph Mbunge.
Naye Mkuu wa Shule ya Sekondari Lunguya, Madulu Bujiku amesema bado kuna baadhi ya wazazi wanawashawishi watoto wafeli mitihani na wanafunzi kukosa mahitaji muhimu ya shule hali inayosababisha kujiingiza kwenye vishawishi kwani wazazi hawawapi mahitaji ya shule watoto wao kutokana na uchumi duni wa kaya na wengine kutokuwa na kutojali tu.
Naye Mwenyekiti wa mkutano huo, Togolani Nkondo ambaye ni Afisa Kilimo Kata ya Shilela ameiomba serikali kuingilia katia michezo ya Bahati Nasibu nyakati za kazi na kuitaka jamii kutowaruhusu watoto kucheza michezo hiyo.
“Katika suala la ulinzi wa mtoto lazima tuzuie watoto kujiingiza kwenye matendo hatarishi ikiwemo kutowaruhusu kuzurua nyakati za usiku. Na Sasa kuna baadhi ya watoto wanacheza michezo ya bahati nasibu ‘Ma bonanza hali inayohatarisha usalama wa watoto. Mabonanza haya siyo mazuri kwa wanafunzi,watoto wakatazwe”,amesema Nkondo.
Nao Wauguzi wa Vituo vya afya Lunguya na Shilela (Mwajuma Ahmad na Neema Charles) wameomba elimu zaidi iendelee kutolewa kwa jamii kuhusu madhara ya ukatili wa kijinsia kwani kesi za matukio ya ukatili zimekuwa zikimalizwa kifamilia hivyo kukwamisha juhudi za kukomesha matukio hayo.
Msaidizi wa Kisheria Hawa Hashim kutoka kata ya Bulyanhulu amesema miongoni mwa changamoto wanazokabiliana nazo wanapofuatilia kesi za ukatili wa kijinsia ni jamii kuficha matukio ya ukatili na kumaliza kesi kifamilia lakini pia wakati mwingine wamekuwa wakikwama kutekeleza majukumu kutokana na kupewa vitisho kutoka kwa wahusika wa matukio.

Mwenyekiti wa Kamati ya Huduma za Msaada wa Kisheria mkoa wa Shinyanga, John Shija ambaye ni Mratibu wa shughuli zinazofanywa na TGNP Mkoa wa Shinyanga akizungumza wakati akifungua mkutano kuhusu Mwenendo wa hali ya ukatili wa kijinsia na namna ya kushughulikia matukio ya ukatili wa kijinsia kwa makundi ya watu wanaoshughulikia kesi za ukatili wa kijinsia katika halmashauri ya Msalala mkoani Shinyanga ulioandaliwa na TGNP.
Mwenyekiti wa Kamati ya Huduma za Msaada wa Kisheria mkoa wa Shinyanga, John Shija ambaye ni Mratibu wa shughuli zinazofanywa na TGNP Mkoa wa Shinyanga akizungumza wakati akifungua mkutano kuhusu Mwenendo wa hali ya ukatili wa kijinsia na namna ya kushughulikia matukio ya ukatili wa kijinsia kwa makundi ya watu wanaoshughulikia kesi za ukatili wa kijinsia katika halmashauri ya Msalala mkoani Shinyanga.
Afisa Kilimo Kata ya Shilela  Togolani Nkondo  (Mwenyekiti wa Mkutano) akizungumza wakati akifungua mkutano kuhusu Mwenendo wa hali ya ukatili wa kijinsia na namna ya kushughulikia matukio ya ukatili wa kijinsia kwa makundi ya watu wanaoshughulikia kesi za ukatili wa kijinsia katika halmashauri ya Msalala mkoani Shinyanga.
Katibu Msaidizi wa Kituo cha Taarifa na Maarifa Shilela, Joseph Mbunge akiwasilisha taarifa ya kituo hicho kwenye mkutano kuhusu Mwenendo wa hali ya ukatili wa kijinsia na namna ya kushughulikia matukio ya ukatili wa kijinsia kwa makundi ya watu wanaoshughulikia kesi za ukatili wa kijinsia katika halmashauri ya Msalala mkoani Shinyanga.
Muuguzi wa Kituo cha afya Lunguya, Mwajuma Ahmad akichangia hoja kwenye mkutano kuhusu Mwenendo wa hali ya ukatili wa kijinsia na namna ya kushughulikia matukio ya ukatili wa kijinsia kwa makundi ya watu wanaoshughulikia kesi za ukatili wa kijinsia katika halmashauri ya Msalala mkoani Shinyanga.
Muuguzi wa Kituo cha afya Shilela, Neema Charles akichangia hoja kwenye mkutano kuhusu Mwenendo wa hali ya ukatili wa kijinsia na namna ya kushughulikia matukio ya ukatili wa kijinsia kwa makundi ya watu wanaoshughulikia kesi za ukatili wa kijinsia katika halmashauri ya Msalala mkoani Shinyanga.
Msaidizi wa Kisheria Hawa Hashim kutoka kata ya Bulyanhulu akichangia hoja kwenye mkutano kuhusu Mwenendo wa hali ya ukatili wa kijinsia na namna ya kushughulikia matukio ya ukatili wa kijinsia kwa makundi ya watu wanaoshughulikia kesi za ukatili wa kijinsia katika halmashauri ya Msalala mkoani Shinyanga.
Mkuu wa Shule ya Sekondari Lunguya, Madulu Bujiku akichangia hoja kwenye mkutano kuhusu Mwenendo wa hali ya ukatili wa kijinsia na namna ya kushughulikia matukio ya ukatili wa kijinsia kwa makundi ya watu wanaoshughulikia kesi za ukatili wa kijinsia katika halmashauri ya Msalala mkoani Shinyanga.
Afisa Mtendaji wa kata ya Lunguya Mauhayakende Paschal akichangia hoja kwenye mkutano kuhusu Mwenendo wa hali ya ukatili wa kijinsia na namna ya kushughulikia matukio ya ukatili wa kijinsia kwa makundi ya watu wanaoshughulikia kesi za ukatili wa kijinsia katika halmashauri ya Msalala mkoani Shinyanga.
Afisa Mtendaji wa Kata ya Shilela Bi. Mwanaidi Mustapha Mzee akichangia hoja kwenye mkutano kuhusu Mwenendo wa hali ya ukatili wa kijinsia na namna ya kushughulikia matukio ya ukatili wa kijinsia kwa makundi ya watu wanaoshughulikia kesi za ukatili wa kijinsia katika halmashauri ya Msalala mkoani Shinyanga.
Mwenyekiti kituo cha taarifa na maarifa kata ya Lunguya, Loyce Kabanza akichangia hoja kwenye mkutano kuhusu Mwenendo wa hali ya ukatili wa kijinsia na namna ya kushughulikia matukio ya ukatili wa kijinsia kwa makundi ya watu wanaoshughulikia kesi za ukatili wa kijinsia katika halmashauri ya Msalala mkoani Shinyanga.
Makamu Mwenyekiti wa Kituo cha Taarifa na Maarifa Shilela, Lameck Manyesha akichangia hoja kwenye mkutano kuhusu Mwenendo wa hali ya ukatili wa kijinsia na namna ya kushughulikia matukio ya ukatili wa kijinsia kwa makundi ya watu wanaoshughulikia kesi za ukatili wa kijinsia katika halmashauri ya Msalala mkoani Shinyanga.
Wajumbe wakiwa kwenye mkutano kuhusu Mwenendo wa hali ya ukatili wa kijinsia na namna ya kushughulikia matukio ya ukatili wa kijinsia.
Wajumbe wakiwa kwenye mkutano kuhusu Mwenendo wa hali ya ukatili wa kijinsia na namna ya kushughulikia matukio ya ukatili wa kijinsia.
Wajumbe wakiwa kwenye mkutano kuhusu Mwenendo wa hali ya ukatili wa kijinsia na namna ya kushughulikia matukio ya ukatili wa kijinsia.
Wajumbe wakiwa kwenye mkutano kuhusu Mwenendo wa hali ya ukatili wa kijinsia na namna ya kushughulikia matukio ya ukatili wa kijinsia.
Wajumbe wakiwa kwenye mkutano kuhusu Mwenendo wa hali ya ukatili wa kijinsia na namna ya kushughulikia matukio ya ukatili wa kijinsia.
Wajumbe wakiwa kwenye mkutano kuhusu Mwenendo wa hali ya ukatili wa kijinsia na namna ya kushughulikia matukio ya ukatili wa kijinsia.
Wajumbe wakiwa kwenye mkutano kuhusu Mwenendo wa hali ya ukatili wa kijinsia na namna ya kushughulikia matukio ya ukatili wa kijinsia.
Washiriki wa mkutano kuhusu Mwenendo wa hali ya ukatili wa kijinsia na namna ya kushughulikia matukio ya ukatili wa kijinsia wakipiga picha ya pamoja.
 
Picha zote na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
 
 

About the author

Alex Sonna