Featured Kitaifa

MATUKIO KATIKA PICHA WAZIRI MKUU AKISHIRIKI MAZISHI YA ALIYEKUWA MWENYEKITI WA UWT

Written by mzalendoeditor

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ambaye pia ni Mbunge wa jimbo la Ruangwa leo Juni 4, 2022 ameshiriki mazishi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT)  wa Kata ya Nanganga,  Bibi Rehema Chilemba yaliyofanyika katika kijiji cha Nanganga wilayani Ruangwa. Pichani Mheshimiwa, Majaliwa akibeba jeneza lenye mwili wa marehemu kuelekea makaburini kwa mazishi. 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ambaye pia ni Mbunge wa jimbo la Ruangwa leo Juni 4, 2022 ameshiriki mazishi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT)  wa Kata ya Nanganga,  Bibi Rehema Chilemba yaliyofanyika katika kijiji cha Nanganga wilayani Ruangwa. Pichani Mheshimiwa, Majaliwa akiweka udongo  kwenye kaburi la marehemu katika mazishi hayo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor