marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

meritking

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas

casibom

Brain Savior Review

artemisbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

jojobet giriş

NervEase

izmit escort

izmit escort

izmit escort

cashwin

palacebet

meritking giriş

kavbet

bets10 giriş

holiganbet

holiganbet

teosbet

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

betgaranti

ngsbahis

betlike

parmabet

mislibet

mislibet

artemisbet

nitrobahis

jojobet

jojobet

kulisbet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

vdcasino, vdcasino giriş

kralbet, kralbet giriş

alobet, alobet giriş

jojobet

restbet

jojobet

pokerklas

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

jojobet

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

holiganbet güncel giriş

holiganbet giriş

Nitric Boost

bahiscasino giriş

betebet

Featured Kitaifa

DKT. KIRUSWA AIAGIZA GST KUFANYA UTAFITI WA MADINI LONGIDO

Written by Alex Sonna
Naibu waziri wa madini Dkt Steven Kiruswa, akizungumza jambo na wazee wa mila, wafanyabiashara na wadau wa Sekta ya Madini wakati akifunga mafunzo hayo yaliyotolewa na wataalam wa Wizara ya Madini katika wilaya ya Longido Mkoani Arusha
Mkuu wa Wilaya ya Longido Nurdin Babu akizungumza jambo wakati wakifunga mafunzo ya uelewa kwa wazee wa mila katika jimbo hilo
Baadhi ya wazee wa mila wakifuatilia mada zinazotolewa na wataalam wa Wizara ya Madini ili kupata uelewa kuhusu Sheria ya Madini katika uombaji wa leseni, usimamizi wa leseni na mambo mengine yanayosimamiwa na Sheria ya Madini
……………………………………………..
Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST)  inatakiwa kufanya utafiti  ili kujua aina za madini  yaliyopo katika maeneo yenye shughuli za uchimbaji mdogo wa madini wilaya ya Longido.
Wito huo, umetolewa Juni 4, 2022 na Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa wakati akifunga semina ya Siku Mbili iliyotolewa kwa wazee wa mila na wataalam wa Wizara ya Madini iliyolenga kuelimisha masuala mbalimbali yanayohusu Sheria ya Madini, Uchimbaji,  Usimamizi wa Mazingira na Wajibu wa migodi kwa jamii katika maeneo ya uchimbaji wilayani Longido mkoa wa Arusha.
Dkt. Kiruswa amesema  hayo baada ya kupokea maoni kutoka kwa wazee wa mila, wadau, wafanyabishara na wachimbaji wadogo wa madini kuwa wanachimba kwa kubahatisha.
Amesema, GST imetakiwa ifanye utafiti wa kutosha katika wilaya ya Longido hususan katika eneo la Matale yanapochimbwa madini ya Ulanga ili kuondokana na uchimbaji wa kubahatisha. Amesisitiza kuwa, wanakosa taarifa za kijiolojia ya maeneo hayo ili wachimbe kwa tija.
“Baada ya wao kuwa wamepata elimu na wanajua taratibu zilizopo, ninatoa wito kwa GST wafanye haraka na wafike kufanya utafiti ili kujua kuna aina gani ya madini na ikiwezekana watengeneze ramani ili wananchi waone maeneo yenye rasilimali madini,” amesisitiza.
Pia,  semina hiyo imesaidia kutoa uelewa mpana wa shughuli zinazofanyika katika Sekta ya Madini katika masuala ya Sheria, Leseni, Utafiti, Ushirikishwaji wa Watanzania na Wajibu wa Makampuni kwa jamii zinazozunguka migodi.
Vile vile, amesema kuwa elimu hiyo waliyoipata  ni hatua muhimu ambayo itasaidia kutekeleza shughuli za madini kwa wale wanaohitaji kuwekeza na ambao wamepata elimu ya  namna gani wanaweza kuomba leseni za uchimbaji, uongezaji thamani madini ya Vito na kusafirisha kwenye masoko ya madini ndani na nje ya nchi na biashara ya madini.
Kwa upande wake, Mkuu wa Wilaya ya Longido Nurdin Babu, amewataka wazee wa mila na wadau wa Sekta ya Madini kujitokeza kuwekeza katika biashara ya madini ili kutumia elimu waliyoipata katika mafunzo baada ya kuelimishwa na Wataalamu kutoka Wizara ya Madini.
Habari ya kazi. Naomba kuwasilisha story ya Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa.
Semina imetolewa katika wilaya ya Longido na wataalam wa Wizara ya Madini imelenga kuelimisha fursa zilizopo katika Sekta ya Madini, Kanuni na Miongozo mbalimbali ya Taasisi za wizara na Sheria ya Madini.

About the author

Alex Sonna