Featured Kitaifa

SPIKA DKT. TULIA ATETA NA MKURUGENZI MKUU WA PSSSF BUNGENI JIJINI DODOMA

Written by mzalendoeditor

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa PSSSF, Ndg. Hosea Kashimba baada ya mazungumzo yaliyofanyika leo Juni 3, 2022 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akiagana na Mkurugenzi Mkuu wa PSSSF, Ndg. Hosea Kashimba baada ya mazungumzo yaliyofanyika leo Juni 3, 2022 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akipokea zawadi kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa PSSSF, Ndg. Hosea Kashimba (katikati) alipomtembelea leo Juni 3, 2022 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Kulia ni Meneja Uhusiano na Elimu kwa Umma, Ndg. James Mlowe

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa PSSSF, Ndg. Hosea Kashimba alipomtembelea leo Juni 3, 2022 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa PSSSF, Ndg. Hosea Kashimba (katikati) alipomtembelea leo Juni 3, 2022 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Kulia ni Meneja Uhusiano na Elimu kwa Umma, Ndg. James Mlowe

Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akiwa katika picha ya pamoja na ugeni kutoka PSSSF ukiongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa PSSSF, Ndg. Hosea Kashimba (wapili kushoto) baada ya mazungumzo yaliyofanyika leo Juni 3, 2022 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

 (PICHA NA OFISI YA BUNGE)

About the author

mzalendoeditor