Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

dedektör

vdcasino giriş

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

palacebet

ultrabet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

jojobet giriş

betebet

gonebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

doeda

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

grandpashabet giriş

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

portobet

dinamobet giriş

casibom

casibom

casibom

casibom

jojobet

casibom

casibom

casibom

casibom

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

starzbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

Featured Kitaifa

WAZIRI KIJAJI:’MITAMBO YA KMTC IKO SALAMA NA INAFANYA KAZI’

Written by Alex Sonna

Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.) akitembelea Kiwanda cha Kilimanjaro Machine tools (KMTC)  Mei 29, 2022 kujionea jinsi kiwanda hicho kinavyofanya kazi na mikakati iliyopo ya kukifufua ili kifanye kazi kwa ufanisi na kuzalisha bidhaa zinazokidhi mahitaji ya soko kwa kutumia teknolojia ya kisasa.

Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Dkt. Ashatu Kijaji  akitembelea Kiwanda cha Kilimanjaro Machine tools (KMTC)  Mei 29, 2022 kujionea jinsi kiwanda hicho kinavyofanya kazi na mikakati iliyopo ya kukifufua ili kifanye kazi kwa ufanisi na kuzalisha bidhaa zinazokidhi mahitaji ya soko kwa kutumia teknolojia ya kisasa.

Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Dkt. Ashatu Kijaji akitembelea Kiwanda cha kutengeneza magurudumu cha Arusha ( General Tyre )  kuangalia mikakati iliyopo ya kufufua kiwanda hicho ili kiweze kuzalisha bidhaa zinazokidhi mahitaji ya soko kwa kutumia teknolojia ya kisasa.

…………………………………

 

Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Dkt. Ashatu Kijaji amesema mitambo iliyopo katika Kiwanda cha Kilimanjaro Machine tools (KMTC) iko salama na inaendelea kufanya kazi ya uzalishaji wa vipuri na mashine mbalimbali wakati maboresho ya kuendesha mitambo hiyo kielektroniki yanaendelea.

Waziri Kijaji ameyasema hayo alipofanya ziara katika Kiwanda cha KMTC kichopo Moshi Mkoani Kilimanjaro kujionea jinsi kiwanda hicho kinavyofanya kazi na mikakati iliyopo ya kukifufua ili kifanye kazi kwa ufanisi na kuzalisha bidhaa zinazokidhi mahitaji ya soko kwa kutumia teknolojia ya kisasa.

Akiwa ameambatana na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Dkt. Hashil Abdallah  pamoja na wajumne wengine aliziagiza Taasisi za TEMDO na CAMARTEC  kufanya kazi kwa kushirikiana na kiwanda hicho ili kiweze kuzalisha bidhaa kwa wingi zilizosanifiwa na Taasisi hizo.

Aidha, Waziri Kijaji alisema uboreshaji wa Kiwanda hicho ni muhimu kwa kuwa bidhaa za chuma zinahitajika katika matumizi mbalimbali ya kutengenezea mitambo, vipuru na bidhaa  katika miradi ya kimkakati kama  vile Reli ya Kisasa ya SGR  na viwanda vingine vikubwa na vidogo.

Naye Mkurugenzi  Mwendeshaji wa Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) Dkt. Nicolaus Herman Shombe amesema Serikali inaendelea kutekeleza Mkakati wa kufufua kiwanda hicho cha KMTC kinachozalisha bidhaa na vipuri mbalimbali vinavyotumika katika viwanda vingine. Kiwanda hicho kina ukubwa wa eneo la hekari 645 kwa ajili ya ujenzi wa viwanda vingine vitakavyokuwa vinatumia bidhaa za kiwanda hicho.

Akieleza umuhumu wa kufufua kiwanda hicho  kwa Waziri Kijaji, Meneja Mkuu wa KMTC Bw. Adrian Nyabuki  amesema mipango yote iliyowekwa ya kufufua kiwanda hicho ikitekelezwa itaweza kupunguza kwa kiasi kikubwa uagizaji wa vipuli na baadhi ya bidhaa za chuma nje ya nchi na kufanya vipuri na bidhaa hizo kupatikana kwa urahisi,  kutoa ajira na kuchangia katika pato la taifa.

Wakati huo huo, Waziri kijaji akiwa ameambatana na ujumbe wake alitembelea Kiwanda cha kutengeneza magurudumu cha Arusha ( General Tyre ) kujionea mahitaji na mikakati iliyopo ya kufufua kiwanda hicho ili kiweze kuzalisha bidhaa zinazokidhi mahitaji ya soko kwa kutumia teknolojia ya kisasa.

About the author

Alex Sonna