Featured Kitaifa

MATUKIO KATIKA PICHA WAZIRI MKUU AKIWA BUNGENI DODOMA

Written by mzalendoeditor

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, Bungeni jijini Dodoma. Mei 30, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na baadhi ya Wabunge, kutoka kushoto ni Mbunge wa  Morogoro Kusini , Hamisi Shaban Taletale, Mbunge wa Viti Maalumu Khadija Shaaban Taya, Bungeni jijini Dodoma. Mei 30, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na baadhi ya Wabunge, Bungeni jijini Dodoma. Mei 30, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dkt. Angelina Mabula, Bungeni jijini Dodoma. Mei 30, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Kilimo, Anthon Mavunde, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma. Mei 30, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wanafunzi wa Shule ya Msingi, nje ya jengo la Utawala Bungeni jijini Dodoma. Mei 30, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

mzalendoeditor