Featured Kitaifa

RAIS SAMIA AONDOKA NCHINI KUELEKEA NCHINI GHANA KWA AJILI YA ZIARA YA KIKAZI

Written by mzalendoeditor

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Viongozi mbalimbali kwenye uwanja wa Ndege wa Dodoma kabla ya kuondoka kuelekea Accra nchini Ghana kwa ajili ya Ziara ya Kikazi ya Siku tatu l

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa katika uwanja wa Ndege wa Dodoma wakati akielekea Accra nchini Ghana kwa ajili ya Ziara ya Kikazi ya Siku tatu leo tarehe 23 Mei, 2022.

About the author

mzalendoeditor