Featured Kitaifa

MWENYEKITI WA CCM RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU MAALUM YA (CCM) JIJINI DODOMA.

Written by mzalendoeditor

  

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilichokutana leo tarehe 22 Mei 2022 Ikulu ya Chawino  Jijini Dodoma.(PICHA NA CCM MAKAO MAKUU)

About the author

mzalendoeditor