marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

marsbahis giriş

NervEase

sapanca escort

sapanca escort

escort sapanca

imajbet

holiganbet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betnano

pusulabet giriş

grandpashabet

grandpashabet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

teosbet

madridbet

marsbahis

imajbet giriş

interbahis

klasbahis

piabellacasino

interbahis

klasbahis

goldenbahis

jojobet

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

pusulabet, pusulabet giriş

betgar, betgar giriş

kulisbet, kulisbet giriş

alobet, alobet giriş

holiganbet

restbet

bets10

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

timebet

trimology review

holiganbet

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet giriş

holiganbet

jojobet

holiganbet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

kingroyal

dinamobet giriş

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

tipobet

Pusulabet

grandpashabet giriş

Jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

ilbet giriş

ilbet

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

superbetin

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10 giriş

zirvebet

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

İkimisli

onwin

süperbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10

casibom giriş

jokerbet

jokerbet giriş

imajbet

imajbet giriş

interbahis giriş

imajbet

matbet

savoybetting

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

istanbul escort

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

betsat

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

porno izle

Hacklink Panel

palacebet

vdcasino giriş

bets10 giriş

interbahis

goldenbahis

imajbet

interbahis giriş

klasbahis

interbahis giriş

kralbet giriş

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

timebet giriş

jojobet

jojobet

bets10

trust score weak 3

holiganbet

slot siteler

deneme bonusu 2026

imajbet

imajbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

casibom

netbahis

1xbet giriş

marsbahis giriş

deneme bonusu

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu veren siteler

ilbet

ilbet giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

grandpashabet

deneme bonusu veren siteler

primebahis

alobet, alobet giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

madridbet

bets10

ilbet

ilbet giriş

deneme bonusu veren siteler

meritking

timebet

tarafbet

casino siteleri

bets10 güncel giriş adresi

betsat

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

deneme bonusu

jojobet giriş

padişahbet

Ankara escort

Marsbahis - Marsbahis Giriş

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino giriş

mavibet

kulisbet, kulisbet giriş

grandpashabet

betoffice

norabahis

betasus

padişahbet

Google Search Console giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

casibom

holiganbet

dental implants turkey

holiganbet giriş

dental implants turkey

full mouth dental implants turkey

casibom

marsbahis

matbet

sekabet giriş

imajbet

pusulabet

herabet

herabet

Featured Kitaifa

BENKI YA EXIM YAOMBWA KUJITANUA ZAIDI KANDA YA ZIWA

Written by Alex Sonna

Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe Kanali Denis Filangali Mwila  akizungumza na wateja wa benki ya Exim  mkoa wa Mwanza wakati wa hafla ya chakula maalum kwa ajili ya wateja wa benki hiyo mkoani humo iliyolenga kutoa wasaa wa kujadili fursa za kibiashara, mipango ya ukuaji na huduma zitolewazo na benki hiyo katika mkoa huo. 

Mkuu wa Huduma ya Rejareja wa Benki ya Exim, Andrew Lyimo akizungumza na wateja wa benki hiyo mkoa wa Mwanza wakati wa hafla ya chakula maalum kwa ajili ya wateja wa benki hiyo mkoani humo iliyolenga kutoa wasaa wa kujadili fursa za kibiashara, mipango ya ukuaji na huduma zitolewazo na benki hiyo katika mkoa huo. 

Mkuu wa Matawi ya Benki ya Exim Bi. Agnes Kaganda  akizungumza na wateja wa benki hiyo mkoa wa Mwanza wakati wa hafla ya chakula maalum kwa ajili ya wateja wa benki hiyo mkoani humo iliyolenga kutoa wasaa wa kujadili fursa za kibiashara, mipango ya ukuaji na huduma zitolewazo na benki hiyo katika mkoa huo. 

Maofisa waandamizi wa Benki ya Exim  akiwepo Mkuu wa Huduma ya Rejareja wa Benki ya Exim, Andrew Lyimo (wa pili kulia) na Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa benki hiyo Bw Stanley Kafu (Kulia) wakibadilisha mawazo na Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe Kanali Denis Filangali Mwila (wa pili kushoto) pamoja na wageni wengine wakati wa hafla ya chakula maalum kwa ajili ya wateja wa benki hiyo mkoani Mwanza iliyolenga kutoa wasaa wa kujadili fursa za kibiashara, mipango ya ukuaji na huduma zitolewazo na benki hiyo katika mkoa huo. 

Maofisa mbalimbali wa benki ya Exim wakiwakaribisha pamoja na kubadilishana mawazo na wateja mbalimbali wa benki hiyo wakati wa hafla ya chakula maalum kwa ajili ya wateja wa benki hiyo mkoani Mwanza iliyolenga kutoa wasaa wa kujadili fursa za kibiashara, mipango ya ukuaji na huduma zitolewazo na benki hiyo katika mkoa huo. 

Baadhi ya wageni waalikwa ambao ni wateja wa benki ya Exim kutoka mkoa wa Mwanza wakiwa kwenye hafla hiyo.

Baadhi ya wageni waalikwa ambao ni wateja wa benki ya Exim kutoka mkoa wa Mwanza wakipata chakula wakati wa hafla hiyo.

Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe Kanali Denis Filangali Mwila (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi waandamizi wa benki ya Exim, maofisa wa benki hiyo pamoja na wateja wa benki hiyo mkoa wa Mwanza wakati wa hafla ya chakula maalum kwa ajili ya wateja hao iliyolenga kutoa wasaa wa kujadili fursa za kibiashara, mipango ya ukuaji na huduma zitolewazo na benki hiyo katika mkoa huo

…………………………………………..

Na Mwandishi Wetu-Mwanza

Benki ya Exim Tanzania imeombwa kuangalia namna ya kujitanua zaidi katika mikoa ya Kanda ya Ziwa hususani katika mkoa wa Mwanza  kwa kufungua matawi zaidi sambamba na huduma za uwakala ili iweze kuwafikia wateja wengi zaidi katika ukanda  huo  wanaohitaji huduma za kifedha kutoka benki hiyo.

Akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhandisi Robert Gabriel wakati wa  hafla ya chakula maalum kwa ajili ya wateja wa benki hiyo mkoani Mwanza mwishoni mwa wiki  Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe Kanali Denis Filangali Mwila  pamoja na kuipongeza benki hiyo kwa huduma zake bora mkoani humo aliuomba uongozi wa benki hiyo kuangalia namna kujitanua zaidi mkoani humo kwa kuongeza matawi zaidi kwenye wilaya mbalimbali za mkoa huo ili huduma zake ziweze kuwanufaisha wananchi wengi wa mkoa huo.

“Katika kipindi chote cha uwepo wake hapa jijini Mwanza Benki ya Exim mmekuwa na mchango mkubwa kwa wakazi wa mkoa huu kwa kutoa huduma zinazowalenga haswa wakazi wa hapa ikiwemo mikopo ya biashara, mikopo ya watumishi na sasa mmekuja na huduma mahususi kwa ajili ya wajasirimali. Nashauri sasa muone umuhimu wa kujitanua zaidi katika mkoa huu na ukanda wote wa Ziwa ili wananchi wafikiwe na huduma hizi nzuri,’’ alisema Kanali Mwila.

Kanali Mwila alisema mchango wa benki hiyo mkoani humo haujaishia katika utoaji wa huduma za kifedha tu bali pia imekuwa mdau muhimu wa maendeleo ya mkoa kupitia mpango wake wa uwajibikaji kwa jamii.

“Ni hivi karibuni tu tulipokea madawati takribani 100 kutoka benki ya Exim nab ado benki hii imeendelea  kufungua milango yake ya kushirikiana na serikali katika kufanikisha mipango mingine mingi ya kimaendeleo. Ni kutokana na sababu kama hizi ndio maana nasi tunawaunga mkono kwa kuwahamasisha wananchi kujiunga  na huduma zenu,’’ alisema.

Awali akizungumza kwenye hafla  iliyohudhuliwa na wadau mbalimbali wa benki hiyo wakiwemo viongozi wa kiserikali, wafanyabiashara wakubwa na wadogo pamoja na wafanyakazi wa benki hiyo ikilenga kutoa wasaa wa kujadili fursa za kibiashara, mipango ya ukuaji na huduma zitolewazo na benki hiyo katika mkoa huo, Mkuu wa Huduma ya Rejareja wa Benki ya Exim, Andrew Lyimo alisema benki hiyo imejipanga zaidi kwa kuboresha mifumo na taratibu za utoaji huduma ili ziendane na mahitaji halisi ya wateja na soko.

“Pia tumejipanga kuongeza weledi na umahiri wa wafanyakazi pamoja na kuwekeza kwenye teknolojia ya kisasa itakayowezesha kuwafikia wateja wengi zaidi, kwa urahisi zaidi, mahali popote walipo na hivyo kuwaondolea ulazima wa kutembelea matawi ya benki hiyo pindi wanapohitaji huduma zetu. Tunataka upatikanaji na utumiaji wa huduma za Benki ya Exim uwe rahisi, huku tukiendelea kusizogeza huduma hizo karibu zaidi na wateja wetu.’’ Alisema.

Alisema hali ya uchumi katika mkoa huo inatoa fursa kubwa ya ukuaji kwa benki hiyo na hiyo ndio sababu imejipanga kuhudumia wateja Wakubwa, Wadogo na wa Kati ili kuleta ustawi kwenye sekta muhimu kwa mkoa huo ikiwemo biashara, kilimo na ufugaji .

“Takwimu zinaonyesha Mkoa wa Mwanza umeendelea kujenga uchumi imara na endelevu, na hivyo ufanisi katika mfumo wa fedha ni moja ya mahitaji ya muhimu na ya msingi katika ukuaji wa uchumi na maendeleo kwa ujumla. Benki ya Exim tumejipanga kuhakikisha tunafanikisha hilo pamoja ’’ alisema

Tangu kuanzishwa kwake mwaka 1997 benki hiyo imezidi kujitanua ndani na nje ya nchi ambapo ambapo hadi sasa benki hiyo imefanikiwa kufungua matawi yake kwenye nchi za Uganda, Ethiopia, Comoro na Djibouti

About the author

Alex Sonna