Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

dedektör

vdcasino giriş

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

grandpashabet

matbet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

jojobet giriş

betebet

gonebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

doeda

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

casibom

jojobet güncel giriş

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

grandpashabet giriş

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

portobet

dinamobet giriş

casibom

casibom

casibom

casibom

jojobet

casibom

casibom

casibom

casibom

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

Featured Kitaifa

SERIKALI IMETOA ZAIDI YA BILIONI 3 UKARABATI VYUO VYA SITA VYA WATOTO WENYE ULEMAVU -KATAMBI

Written by Alex Sonna

Naibu Waziri toka Ofisi ya Waziri Mkuu, Patrobas Katambi akizungumza
jambo Mwenyekiti  wa Watu Wenye ulemavu  toka Korogwe Vijijini Shaban Shekihiyo wakati
wa ghafla ya ufunguzi wa chuo cha walemvu

Naibu Waziri toka Ofisi ya Waziri Mkuu, Patrobas Katambi akizungumza
jambo Mwenyekiti  wa Watu Wenye ulemavu  toka Korogwe Vijijini Shaban Shekihiyo wakati
wa ghafla ya ufunguzi wa chuo cha walemvu

Naibu Waziri toka Ofisi ya Waziri Mkuu, Patrobas Katambi kulia akicheza
mziki na wanafunzi walemavu toka kituo cha YDCP kwenye ghafla ya
ufunguzi wa Chuo cha walemavu

NA OSCAR ASSENGA,TANGA
 
SERIKALI
ya awamu ya Sita inaoongozwa na Rais Samia Suluhu imetenga zaidi ya Shs
bil 3 kwa ajili ya ukarabati wa vyuo Sita vya watoto wenye ulemavu
nchini
 
 
Kauli
hiyo imetolewa Jijini Tanga  na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Vijana,Ajira na Wenye Ulemavu Patrobas Katambi wakati wa ufunguzi
wa Chuo cha Ufundi na marekebisho kwa watu wenye ulemavu
 
Katambi
alisema Serikali inatambua umuhimu wa kundi hilo na ilitoa maelekezo ya
kufanyiwa ukarabati wa vyuo hivyo ili kutoa fursa kwa jamii hiyo kupata
elimu itakayowasaidia kujifunza ufundi utakao wanufaisha katika maisha
yao.
 
 
Aidha aliitaja mikoa ambayo ina vyuo hivyo ni pamoja na Dar es Salaam, Tanga, Tabora, Mtwara,Singida
na Mwanza ambapo alisema kuwa kama vyuo hivyo vitatumika vizuri idadi
kubwa ya watoto walemavu inaweza kujitegemea na kuingia katika ajira kwa
maslahi ya maisha yao na familia zinazowazunguka.
 
Katambi aliongeza kuwa
Mh:Rais Samia Suluhu ameziagiza Wizara zote zihakikishe zinatoa ajira kwa asilimia 3
kwa kundi hilo la walemavu ili kuwaondolea dhana ya kuwa wategemezi na
watu wasioweza kujiajiri ama kuajiriwa.
 
 
“Lazima
haki ya elimu,afya na ajira zitekelezwe kwa mujibu wa sheria za Nchi
yetu,unafikiri bila ya kuliwezesha kundi hili kielimu na
ufundi,utawaajiri wapi,nazima tuwaandae na tunaweza kupata watumishi
bora”Alisema Katambi.
 
 
Hata
hivyo amemuagiza Katibu Tawala Mkoa kuhakikisha wanapata eneo kubwa kwa
ajili ya ujenzi wa chuo hicho ambapo kitakuwa na uwezo wa kupokea
wanafunzi walemavu toka Kanda nzima ya Kaskazini.
 
 
Kwa
upande wa katibu Tawala Mkoa Tanga Pili Mnyema alisema wapo walemavu
elfu tatu ambapo Mkoa inawatambua na Serikali imeweka mazingira rafiki
ili kuweza kuwawezesha.
 
 
Mnyema
alisema kwa mwaka huu wa fedha tayari  Halmashauri imetoa Shs Mil 121
ambayo ni asilimia 2 ya Shs Mil 600 kwa ajili ya kuwawezesha walemavu.
 
Nae
Mkuu wa Chuo hicho Joharia Msuya alisema changamoto ya chuo ni pamoja
na kuwa na walimu 3 wa kuajiriwa jambo ambalo linazorotesha ufanisi wa
majukumu ya kila siku.
 
 
Msuya
alisema mbali ya walimu na wafanyakazi wasiokuwa walimu pia eneo la
chuo hicho ni dogo ungilinganisha na idadi ya wanafunzi inayotakiwq
kuhudumiwa ambapo wanatoka mikoa 3.

 

About the author

Alex Sonna