marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

marsbahis giriş

NervEase

escort sakarya

sakarya escort

izmit escort

matbet

teosbet

meritking giriş

ganobet

bets10 giriş

betnano

pusulabet giriş

grandpashabet

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

casinoroyal

kavbet

marsbahis

perabet giriş

kavbet

casinowon giriş

mavibet giriş

imajbet

mavibet

pashagaming

marsbahis

kulisbet giriş

pusulabet giriş

bahiscasino, bahiscaasino giriş

betgar, betgar giriş

bahiscasino, bahiscaasino giriş

betkolik, betkolik giriş

jojobet

restbet

jojobet giriş

restbet

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

bettilt

trimology review

celtabet

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

tarafbet giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

betosfer

bilgi kutusu

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

tümbet giriş

tümbet

tümbet

tümbet giriş

netbahis

netbahis giriş

netbahis

netbahis giriş

norabahis

starzbet

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

netbahis

netbahis giriş

betsat

betsat giriş

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

kıbrıs escort

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

ilbet

ilbet giriş

xslot

xslot giriş

bets10

bets10 giriş

bets10 giriş

Fixbet

jojobet

grandpashabet

galabet

İkimisli

onwin

sahabet

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10 giriş

casibom

lunabet

lunabet giriş

imajbet

bahiscasino

perabet

lunabet

kavbet

artemisbet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

ifşa

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

bets10

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

grandpashabet

Hacklink Panel

nesinecasino

vdcasino

bets10

perabet

perabet

perabet giriş

artemisbet

imajbet giriş

imajbet

kralbet giriş

imajbet

สล็อตเว็บตรง

bets10 giriş

bettilt giriş

holiganbet giriş

jojobet

jojobet

trust score weak 3

jojobet

Holiganbet

hitbet

kavbet

kavbet

jojobet

casibom

casibom

casibom

casibom

dinamobet

netbahis

1xbet giriş

vipslot

galabet giriş

interbahis

Featured Kitaifa

KITI CHA UTAFITI CHA KWANZA CHA O.R.TAMBO CHAZINDULIWA JIJINI ARUSHA

Written by Alex Sonna

Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Eliamani  Sedoyeka (kulia), akipata maelezo mafupi kutoka kwa Makamu Mkuu wa   Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela, Prof. Emmanuel Luoga ( wa pili kutoka kulia), kuhusu Kiti cha utafiti cha O.R.Tambo alipowasili katika Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela kwa ajili ya uzinduzi wa Kiti cha Utafiti cha O.R. Tambo jijini Arusha

Katibu Mkuu Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia Prof Eliamani Sedoyeka, akisikiliza taarifa kuhusu uzinduzi wa Kiti cha Utafiti Cha O.R Tambo wakati wa hafla hiyo Katika Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela

Mwenyekiti wa kiti Cha Utafiti Cha O.R Tambo  Prof. Hulda Shahidi Swai (Kushoto) akifuatilia hotuba ya Katibu Mkuu Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia Prof Eliamani Sedoyeka(hayupo pichani)  wakati wa Uzindizi wa Kiti hicho tarehe 18 Mei, 2022 kulia kwake ni Katibu Mtendaji wa Tume ya Taifa UNESCO  Prof. Hamisi Malebo.

Meneja wa Kiti cha Utafiti Cha O.R Tambo katika Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela Ndg. Victor Jape (kushoto) akisikiliza hotuba ya Katibu Mkuu Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia Prof Eliamani Sedoyeka ( hayupo pichani) wakati wa Uzindizi wa Kiti hicho tarehe 18 Mei, 2022  kulia ni Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu Cha Dodoma Dkt. Rehema Kilonzo.

Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Eliamani Sedoyeka (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa kikao Cha uzinduzi wa kiti Cha Utafiti Cha O.R Tambo katika Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela tarehe 18 Mei, 2022 kushoto kwake ni Makamu Mkuu wa Chuo Prof. Emmanuel Luoga na wa kwanza kulia kwake ni Mwenyekiti wa kiti Cha Utafiti Cha O.R Tambo Prof. Hulda Shahidi Swai.

………………………………………….

Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela imezindua Kiti cha Utafiti cha O.R. Tambo jijini Arusha.

Kiti hicho kitajikita kwenye utafiti wa malaria na kilimo kwa kuchagiza matumizi ya teknolojia katika upatikanaji wa dawa za kutibu malaria zenye uwezo kufanya kazi kwa ufanisi zaidi na pia kupunguza madhara yanayotokana na matumizi ya dawa husika kwa mgonjwa. Aidha, utafiti pia utajikita kwenye kilimo kwa kuleta mbolea na viuatilifu vinavyofanya kazi kwa ufanisi zaidi kwenye mazao na kupunguza athari za kimazingira kwenye ardhi.

Akizungumza katika uzinduzi wa Kiti hicho cha Utafiti cha O.R. Tambo, Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Eliamani Sedoyeka amesema kuwa uzinduzi wa kiti cha utafiti cha O.R. Tambo Afrika ni chachu katika kuongeza ufanisi wa madawa  ya malaria na  viatilifu vya kilimo nchini.

“Sote tunafahamu kuwa malaria bado ni changamoto kubwa nchini ambao unaathiri uchumi kwa kupunguza nguvu kazi ya taifa kutokana na kupoteza maisha ya watanzania wengi” amesema Profesa Sedoyeka.

Ameongeza kuwa Serikali imekuwa ikitumia fedha nyingi kuagiza mbolea na viwatilifu ambavyo nyingi hazina ufanisi na zina athari kwenye mazingira, hivyo utafiti na uzalishaji nchini wa mbolea na viwatilifu venye ufanisi zaidi na zisizoathiri mazingira utasaidia nchi yetu kupunguza gharama za kuagiza bidhaa hizo na pia kuongeza mavuno kwa wakulima na kuboresha mazingira kwa kupunguza kemikali zenye sumu kwenye ardhi na hewani.

Akizungumzia faida za kiti cha utafiti cha O.R. Tambo, Mwenyekiti wa O.R. Tambo, Prof. Hulda Shaidi Swai amesema kuwa pamoja na kuimarisha ufanisi wa dawa za kupambana na malaria, mbolea na viwatilifu venye tija zaidi kiti hiki pia kitatoa ufadhili wa masomo kwa wanafunzi wa shahada za uzamivu na uzamili na hivyo kuongeza idadi ya wanasayansi nchini.

Naye Makamu Mkuu wa   Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela, Profesa Emmanuel Luoga amesema kuwa Pamoja na mabo mengine, Kiti cha O.R. Tambo kitasaidia kuboresha maabara ya Taasisi ya Nelson Mandela hivyo kutengeneza mazingira rafiki kwa wanafunzi kufanya tafiti zao. 

Kiti cha Utafiti cha O.R. Tambo kimefadhiliwa kupitia ushirikiano kati ya Mfuko wa Taifa wa Utafiti wa Afrika Kusini (NRF) na Idara ya Sayansi na Ubunifu (DSI), Taasisi ya Oliver na Adelaide Tambo, Kituo cha Utafiti wa Maendeleo ya Kimataifa cha Canada (IDRC), na Halmashauri saba za Mpango wa Mabaraza ya Utoaji wa usaidizi wa Sayansi Kusini mwa Jangwa la Sahara (SGCI). 

Mradi huo unatekelezwa kupitia Tume ya Sayansi na Teknolojia Tanzania (COSTECH).

Imeandikwa na Orester Julius, Afisa habari wa Kituo cha Umahiri cha CREATES –NFS NM- AIST

About the author

Alex Sonna