Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

kulisbet giriş

mavibet

piabellacasino

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

meritking

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

spinco

betplay

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

vidobet

vdcasino giriş

vdcasino

Featured Kitaifa

TBS YATOA MAFUNZO KWA WILAYA ZA CHEMBA NA BABATI MJINI KUHUSU UDHIBITI SUMUKUVU

Written by Alex Sonna

Mkuu wa Wilaya ya Chemba,Simon Chacha akizungumza wakati wa mafunzo kuhusu Udhibiti wa Sumukuvu kwa mazao ya Mahindi,karanga kwa wafanyabiashara,wasafirishaji na wasindikaji kutoka katika Wilaya ya Chemba yaliyoandaliwa  na Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kupitia Mradi wa Kudhibiti Sumukuvu Tanzania- TANIPAC.

Sehemu ya washiriki wakifatilia hotuba ya kuu wa Wilaya ya Chemba,Simon Chacha ,wakati wa mafunzo kuhusu Udhibiti wa Sumukuvu kwa mazao ya Mahindi,karanga kwa wafanyabiashara,wasafirishaji na wasindikaji kutoka katika Wilaya ya Chemba yaliyoandaliwa  na Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kupitia Mradi wa Kudhibiti Sumukuvu Tanzania- TANIPAC.

Mkuu wa Wilaya ya Chemba,Simon Chacha akiwa katika picha ya pamoja na washiriki mara baada ya kufungua mafunzo kuhusu Udhibiti wa Sumukuvu kwa mazao ya Mahindi,karanga kwa wafanyabiashara,wasafirishaji na wasindikaji kutoka katika Wilaya ya Chemba yaliyoandaliwa  na Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kupitia Mradi wa Kudhibiti Sumukuvu Tanzania- TANIPAC.

……………………………………

Na Alex Sonna-CHEMBA NA BABATI

WAKUU wa Wilaya za Chemba na Babati Mjini wamewataka wafanyabiashara,wasafirishaji na wasindikaji wa vyakula kuzingatia mikakati ya kukabiliana na changamoto ya sumukuvu ili vyakula  viendelee kuwa salama kwa muda wote.

Kauli hizo wamezitoa kwa  tofauti wakati wakifungua   mafunzo kuhusu Udhibiti wa Sumukuvu kwa mazao ya Mahindi,karanga kwa wafanyabiashara,wasafirishaji na wasindikaji kutoka katika Wilaya ya Chemba.

Mafunzo hayo yameandaliwa na Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kupitia Mradi wa Kudhibiti Sumukuvu Tanzania- TANIPAC.

Mkuu wa Wilaya ya Chemba,Simon Chacha akizungumza Wilayani Chemba  amesema umuhimu wa chakula  unasababisha suala la usalama wa chakula kupewa kipaumbele katika kulinda afya ya jamii na uchumi wa nchi na kuwa kigezo muhimu katika biashara ya kitaifa na kimataifa.

Amesema chakula kisicho salama husababisha madhara ya kiafya na hata vifo kwa walaji pamoja na kusababisha athari za kiuchumi. 

“Natambua nafasi yenu kama wafanyabiashara, wasindikaji na wasafirishaji kwa ujumla katika kudhibiti uchafuzi wa sumukuvu kwenye mazao tajwa. Ni kwa mantiki hiyo pia, TBS imeandaa mafunzo haya mahususi kwa ajili yenu ili kuwajengea uwezo juu ya udhibiti wa sumukuvu,”amesema

Amesema, usalama wa chakula unakabiliwa na changamoto mbalimbali ikiwa ni pamoja na uchafuzi wa sumukuvu ambayo husababisha madhara ya kiafya na hata kiuchumi.

“Nimetaarifiwa kuwa pamoja na mada nyingine, kuna baadhi ya mambo muhimu ya kuzingatia yatakayojadiliwa na kutiliwa mkazo  na wataalam wakati wa mafunzo.

“Mambo hayo ni pamoja na Kuzingatia kanuni bora za kilimo kama inavyoshauriwa na wataalamu wa kilimo;Kuvuna na kuondoa mahindi na karanga shambani  mara tu baada ya kukomaa vizuri; Kukausha vizuri mazao yaliyovunwa kabla ya kuhifadhi.

“Kuhifadhi vizuri mazao na kuepuka wadudu waharibifu, wanyama, joto kali na unyevu; na Kuchambua mahindi na karanga Kabla ya kuhifadhi,”amesema

Pia,amewasihi  watalaamu wa afya, lishe, kilimo, mifugo, biashara na maendeleo ya jamii kutoka katika  Halmashauri ya Wilaya ya Chemba kuendelea kutilia mkazo na kutoa kipaumbele katika kutekeleza mikakati ya kuimarisha usalama wa chakula ikiwa ni pamoja na kudhibiti uchafuzi wa sumukuvu.

”Hili linawezekana  iwapo kutakuwa na ufuatiliaji wa shughuli zinazofanywa na wafanyabiashara wetu,”alisema.

Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Babati Jocob Lazaro  akizungumza Wilayani Babati katika mafunzo kama hayo wamewasihi  watalaamu wa afya, lishe, kilimo, mifugo, biashara na maendeleo ya jamii kutoka katika Halmashauri ya Wilaya ya Babati kuendelea kutilia mkazo katika masuala ya chakula.

Amesema pia wanatakiwa  kutoa kipaumbele katika kutekeleza mikakati ya kuimarisha usalama wa chakula ikiwa ni pamoja na kudhibiti uchafuzi wa sumukuvu.

”Hili linawezekana iwapo kutakuwa na ufuatiliaji wa shughuli zinazofanywa na wafanyabiashara wetu,”amesema.

About the author

Alex Sonna