slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

deneme bonusu veren siteler

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

bos

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

casibom giriş

NervEase

sapanca escort

google algoritma hack

escort sapanca

jojobet

holiganbet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

marsbahis

pusulabet giriş

cratosroyalbet

grandpashabet

film izle

1xbet giriş

1xbet

gameofbet

holiganbet

marsbahis

artemisbet giriş

imajbet giriş

klasbahis

mavibet giriş

mavibet

klasbahis

goldenbahis

jojobet

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

alobet, alobet giriş

betgar, betgar giriş

kulisbet, kulisbet giriş

noktabet, noktabet giriş

holiganbet

restbet

casibom

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

timebet

trimology review

jojobet

jojobet

deneme bonusu

casibom

holiganbet

jojobet

casinolevant

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

celtabet

flower disease

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

tipobet

madridbet

grandpashabet giriş

Jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

taksimbet

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10 giriş

zirvebet

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

İkimisli

onwin

süperbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

lunabet

artemisbet

kavbet

kavbet

imajbet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

istanbul escort

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

betsat

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

page

Hacklink Panel

cratosroyalbet

vdcasino giriş

bets10 giriş

artemisbet

mavibet

imajbet

artemisbet

kavbet giriş

imajbet

kralbet giriş

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

timebet giriş

casibom giriş

meritking

jojobet

trust score weak 3

jojobet

bets10 giriş

slot siteleri

kavbet

kavbet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet

jojobet giriş

dinamobet giriş

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis giriş

meritbet giriş

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu veren siteler

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

casibom

deneme bonusu veren siteler

primebahis

betingo, betingo giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

madridbet

bets10

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

meritking

timebet

matbet

casino siteleri

bets10 güncel giriş adresi

betsat

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

sweet bonanza

jojobet giriş

zahnimplantate türkei

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino giriş

mavibet

kulisbet, kulisbet giriş

grandpashabet

lunabet

norabahis

betasus

holiganbet

Google Search Console giriş

deneme bonusu veren siteler 2026

deneme bonusu 2026

casibom

holiganbet

dental implants turkey

holiganbet giriş

dental implants turkey

full mouth dental implants turkey

casibom

jojobet

radissonbet

holiganbet

matbet

wbahis

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Featured Kitaifa

TAWA NA POLISI RUVUMA WAKAMATA MENO 9 NA VIPANDE 8 VYA MENO YA TEMBO

Written by Alex Sonna

Kamishina msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Uhifadhi Wanyamapori(Tawa)Kanda ya Kusini Abraham Jullu kushoto na kamanda wa Polisi mkoa wa Ruvuma Kamishina msaidizi Joseph Konyo wakiangalia meno ya Tembo yaliyokamatwa katika kijiji cha Hanga wilayani Namtumbo baada ya watu wasiofahamika kuyatelekeza baada ya kustukia mtego  wa kuwakamata.

Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma Kamishina msaidizi Joseph Konyo na Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Uhifadhi wanyamapori(Tawa)kanda ya kusini Abraham Jullu wakionyesha meno ya Tembo kwa Waandishi wa Habari(hawapo pichani) yaliyokamatwa  wilayani Tunduru hivi karibuni ambapo jumla ya watu watatu wanashikiliwa kwa tuhuma za kukutwa na meno hayo.

 Kamishina msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Uhifadhi wanyamapori(Tawa)kanda ya kusini Abraham Jullu na Kamanda wa Polisi mkoa wa Ruvuma Joseph Konyo wakionyesha  baadhi ya meno ya Tembo yaliyokamtwa katika wilaya ya Namtumbo na Tunduru mkoani Ruvuma kufuatia misako  inayofanywa na vikosi hivyo.

Kamanda wa Polisi mkoa wa Ruvuma Kamishina msaidizi Joseph Konyo akionyesha mafuta ya kula kwa waandishi wa Habari(hawapo pichani) yaliyokamatwa na Jeshi hilo kufuatia misako na operesheni mbalimbali zinazofanywa  dhidi ya vitendo vya  kiharifu na waharifu katika maeneo mbalimbali ya mkoa wa Ruvuma.

Kamanda wa Polisi mkoa wa Ruvuma Kamishina msaidizi  Joseph Konyo akionyesha  vitu mbalimbali vilivyokamatwa na Jeshi hilo kufuatia misako na operesheni za kuwakamata watu wanaojihusisha na matukio ya uharifu zinazoendelea kufanyika katika wilaya zote za mkoa huo.

Afisa wa Jeshi la uhifadhi wanyamapori(Tawa)kanda ya kusini  dEOGRATIUS Chami,akipanga vipande vya meno ya Tembo yaliyokamtwa katika  kijiji cha Milonde wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma kabla ya kuonyeshwa kwa waandishi wa Habari
…………………………………….

Na Muhidin Amri,Songea

JESHI la Polisi mkoani Ruvuma kwa kushirikiana  na Jeshi la Uhifadhi Wanyamapori (Tawa) kanda ya kusini, limewakamata watu watatu wakazi wa wilaya ya Tunduru wakiwa na meno tisa na  vipande vinane vya meno ya Tembo.

Kamanda wa Polisi mkoani humo Kamishina msaidizi Joseph Konyo aliwataja watu hao kuwa ni Said Awadi,Hassan Hakimu na Zakaria Rashid  na walikamatwa tarehe 10 Mei 2022 majira ya saa mbili usiku katika kijiji cha Milonde-Kiuma.

Kamanda Konyo alisema,meno  hayo yana uzito wa kg 20.4 na thamani yake ni Sh. milioni 138,600,000 ambapo watuhumiwa hao watafikishwa mahakamani mara upelelezi utakapokamilika.

Aidha Konyo alisema,Jeshi la Polisi na askari wa Tawa wamefanikiwa kukamata  meno Matano ya Tembo yenye uzito wa kg 44 yenye thamani ya Sh.103,950,000.

Alisema,meno hayo yalikamatwa katika kijiji cha Hanga- Monastery wilayani Namtumbo, baada ya kutelekezwa na watu ambao walistukia mtego uliowekwa na Polisi na askari wa Jeshi la Uhifadhi,hata hivyo jitihada za kuwatafuta na kuwakamata  zinaendelea.

Kwa mujibu wa Kamanda Konyo,jumla ya Tembo saba waliuawa katika matukio hayo mawili na kila tembo mmoja ana thamani ya Dola za  Kimarekani  1,500 sawa na pesa za Kitanzania  Sh.milioni 242,550,000 kwa Tembo wote.

Alisema,kupatikana kwa nyara hizo na kukamatwa kwa watu hao kunatokana na ushirikiano mkubwa uliopo kati ya Jeshi la Polisi na Jeshi la Uhifadhi Wanyamapori(Tawa).

Kwa upande wake Kamishina msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Uhifadhi Wanyamapori(Tawa)kanda ya kusini Abraham Jullu,amewataka wananchi kuepuka vitendo vya uwindaji haramu wa wanyamapori wakiwamo Tembo ambao ni rasilimali na tunu kubwa za Taifa.

Alisema,uvunaji(uwindaji) haramu wanyamapori ni kosa kisheria kwani wanyama hao wanalindwa na kuhifadhiwa kwa ajili ya kuvutia  wageni na Watanzania wanaokwenda kutembelea Hifadhi za Taifa na kutoa fedha ambazo zinazochangia kukuza uchumi wa nchi yetu.

Alisema,Tawa na  vyombo vingine vya ulinzi na usalama vitahakikisha inawakamata na kuwachukulia hatua za kisheria wale wote watakojihusisha na vitendo vya uwindaji haramu.

Kamishina Jullu, ameitaka jamii kusaidiana na mamlaka husika kulinda rasilimali zilizopo kwa manufaa ya kizazi cha sasa na kijacho,badala ya kutanguliza maslahi binafsi.

Katika hatua nyingine Kamanda Konyo alieleza kuwa,kuanzia tarehe 1 hadi 12 Mwezi huu Jeshi hilo limefanya operesheni maalum iliyolenga kuwakamata watu wanaojihusisha na matukio ya uvunjaji,wizi na wapokeaji wa mali za wizi katika  maeneo mbalimbali.

Kamanda Konyo alisema,katika operesheni hiyo wamefanikiwa kuwakamata watuhumiwa kumi na sita kati yao wanaume kumi na tatu  na wanawake watatu wakiwa na vitu vya wizi.

Alitaja vitu vilivyokamatwa ni Televisheni kumi,Radio Subwofer nne,spika moja,magodoro mawili,mitungi mitano ya Gesi,viti vya Plastiki kumi,ndoo hamsini za mafuta ya kula,kitanda,mabegi ya nguo na baiskeli moja.

Ametoa onyo kwa watu wanaojihusisha na shughuli za ujangili na matukio ya wizi kuacha mara moja, kwani Jeshi hilo kwa kushirikiana na vyombo vingine vya usalama havitawafumbia macho.

About the author

Alex Sonna