Featured Kitaifa

SPIKA DKT. TULIA ATETA NA KAIMU POSTAMASTA MKUU BUNGENI JIJINI DODOMA

Written by mzalendoeditor

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akipokea zawadi kutoka kwa Kaimu Postamasta Mkuu, Ndg. Macrice Mbodo alipomtembelea leo Mei 13, 2022 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akizungumza na Kaimu Postamasta Mkuu, Ndg. Macrice Mbodo (katikati) alipomtembelea leo Mei 13, 2022 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Kulia ni Meneja wa Posta Mkoa wa Dodoma, Ndg. Ferdinand Kabyemela

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akizungumza na Kaimu Postamasta Mkuu, Ndg. Macrice Mbodo alipomtembelea leo Mei 13, 2022 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

About the author

mzalendoeditor