Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

dedektör

vdcasino giriş

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

palacebet

ultrabet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

jojobet giriş

betebet

gonebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

doeda

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

grandpashabet giriş

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

portobet

dinamobet giriş

casibom

casibom

casibom

casibom

jojobet

casibom

casibom

casibom

casibom

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

starzbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

Featured Kitaifa

WADAU WA NGOs WAHIMIZWA KUTOA MAONI MKAKATI WA KUPUNGUZA UTEGEMEZI

Written by Alex Sonna

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Mwanaidi Ali Khamis akizungumza wakati akifungua kikao kazi cha wadau wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali kwa Kanda ya Kaskazini kilichofanyika jijini Arusha ili kukusanya maoni ya Mkakati wa kupunguza utegemezi kwa NGOs nchini.

Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Mwanaidi Ali Khamis akimsikiliza Mratibu wa Kikosi kazi cha kukusanya maoni ya Mkakati wa kupunguza utegemezi kwa NGOs nchini mara baada ya kufungua kikao kazi kilichozikutanisha NGOs za Kanda ya Kaskazini jijini Arusha.

Katibu Mkuu wa Baraza la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NaCoNGO) Revocatus Sona akieleza namna Kikosi kazi cha kukusanya maoni ya Mkakati wa kupunguza utegemezi kwa NGOs nchini katika kikao kilichowakutanisha wadau wa NGOs Kanda ya Kaskazini jijini Arusha.

Mkurugenzi Msaidizi sehemu ya Usajili wa NGOs kutoka Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mussa Sang’anya akizungumza jinsi Wizara inavyoshirikiana na Baraza la taifa la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali katika mchakato wa kukusanya maoni ya Mkakati wa kupunguza utegemezi kwa NGOs nchini katika kikao kilichowakutanisha wadau wa NGOs Kanda ya Kaskazini jijini Arusha.

Baadhi ya wadau wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali kutoka Kanda ya Kaskazini wakijadiliana katika kikao cha kutoa maoni kuhusu Mkakati wa kupunguza utegemezi kwa NGOs nchini kilichofanyika jijini Arusha

Picha zote na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini WMJJWM

………………………………………………………..

Na WMJJWM Arusha

Serika pamoja na Wadau wa Mashirika yasiyo ya Kiserikali nchini wametakiwa kujitokeza kwa wingi na kushiriki kutoa maoni katika Mkakati wa Mashirika hayo kupunguza utegemezi katika utekelezaji wa miradi na majukumu yao

Rai hiyo imetolewa Mei 12, 2022 jijini Arusha na Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Mwanaidi Ali Khamis wakati akifungua kikao kazi cha wadau wa NGOs cha kujadili na kutoa maoni katika Mkakati wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali kupunguza utegemezi wa wafadhili.

Mhe. Mwanaidi alisema mpaka sasa Kamati imekamilisha andiko la majadiliano (Consultation Paper), nyenzo za ukusanyaji wa taarifa na maoni kutoka kwa wadau mbalimbali (Stakeholders Engagement Tools), pamoja na ukusanyaji wa taarifa na maoni kutoka kwa wadau na zoezi hilo linaendela katika Kanda ya Kaskazini, Kanda ya nyada za Juu Kusini na Kanda ya Kati.

Mwanaidi aliwataka kuzingatia umuhimu wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali katika maendeleo na ustawi wa jamii na Taifa kwa ujumla, hivyo alitoa rai kwa washiriki wa mkutano huo kutoa maoni yatakayosaidia kupatikana kwa mkakati huo pia kushirikiana na kamati kwa hali na mali ili kuweza kukamilisha mkakati utakaosaidia kukidhi malengo ya kuanzishwa kwa Mashirika yao na matarajio ya jamii ya watanzania wanayohudumia.

Aidha Mhe. Mwanaidi alisema Mashirika Yasiyo ya Kiserikali yamekuwa yakichagiza jitihada za Serikali ili kuwaletea Wananchi wake maendeleo kupitia utekelezaji wa miradi ya afua mbalimbali zikiwemo za Afya, Kilimo, Elimu, Maji, Mazingira, Miundombinu, Utawala Bora, Nishati, hifadhi ya Jamii, Mifugo na Uvuvi, Uwezeshaji wa Jamii na Sekta nyingine mtambuka.  

”Miradi hiyo, sio tu imewanufaisha Wananchi wetu kijamii, bali pia imechangia katika kuongeza ukuaji wa uchumi, kuboresha utoaji wa huduma na kuongeza fursa za ajira hususan kwa vijana, wanawake na watu wenye ulemavu“alisema Naibu Waziri Mwanaidi

Akitoa taarifa ya Kikosi kazi cha kukusanya maoni juu ya Mkakati wa NGOs kupunguza utegemezi, Katibu Mkuu wa Baraza la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Revocatus Sono alisema Kikosi kazi hicho kimefanikiwa kuwafikia wadau Zaidi ya 700 katika Knda ya Ziwa, Mashariki na Kaskazini hivyo amewahimiza wadau hao kuendelea kushirikiana na Kikosi kazi hicho ili kuapata maoni yatakayosaidia kupata Mkatati huo muhimu kwa ukuaji wa sekta ya NGOs.

Akizungumza kwa niaba ya Msajili wa NGOs, Mkurugenzi Msaidizi sehemu ya Usajili Mussa Sang’anya alisema Wizara inaendelea na mchakato wa kukusanaya maoni kwa wada katika Kanda mbalimbali kwa kasi ili kufikia malengo yake ya kuwasilisha rasimu ya Mkakati huo kwa Viongozi wa Wizara kwa hatua zaidi za utekelezaji wake.

Kwa upande wake Msajili Msaidizi na Afisa Maendeleo ya Jamii mkoa wa Arusha Blandina Nkini ameishukuru Wizara kwa kuratibu zoezi hilo ambalo muhimu katika maendeleo ya Mashirika Yasiyo ya Kiserikali nchuni kwanin itayasaidia kupunguza utegemezi na kuwa na muendelezo wa utoaji wa huduma na utekelezaji wa miradi na majukumu yao.

“Nitoe pongezi kwenu Wizara katika hili hakika mmefanya jambo litakalokumbukwa na vizazi kwa kuweka namna bora itakayosaidia kuokoa NGOs ambazo ufadhili ukipungua au kumalizika zinakosa muelekeo na nyingine zinakufa na kuacha wananchi wakihitaji huduma za NGOs hizo” alisema Blandina  

Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum inashirikiana na Baraza la Taifa la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NaCoNGO) kuratibu zoezi la utaoji maoni ya wadau wa NGOs katika kuwa na Mkakati wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali kupunguza utegemezi na linaendeshwa katika kanda tano za Mashariki, Kati, Kaskazini, Nyanda za Juu Kusini na Ziwa.

About the author

Alex Sonna