marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

holiganbet giriş

NervEase

mersin escort

sapanca escort

escort bayan

imajbet

vdcasino

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

ultrabet giriş

pusulabet giriş

grandpashabet

jojobet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

tambet

bahiscasino

marsbahis

perabet giriş

imajbet

grandbahis

betpipo giriş

imajbet

betpipo

grandbahis giriş

jojobet

kulisbet giriş

pusulabet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

ultrabet, ultrabet giriş

tlcasino, tlcasino giriş

alobet, alobet giriş

kingroyal

restbet

jojobet giriş

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

superbetin

trimology review

celtabet

meritking giriş

meritking

jojobet

holiganbet

holiganbet

holiganbet

holiganbet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

starzbet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

bilgi kutusu

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

tümbet giriş

tümbet

tümbet

tümbet giriş

starzbet

pokerklas

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

betturkey

betturkey giriş

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

deneme bonusu veren siteler

casibom

jojobet güncel giriş

betsat

betsat giriş

xslot

xslot giriş

vaycasino

trendbet

trendbet giriş

Milanobet

jojobet

grandpashabet

deneme bonusu veren siteler

İkimisli

onwin

superbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

padişahbet giriş

padişahbet

holiganbet

perabet

perabet giriş

imajbet

imajbet giriş

perabet

imajbet

perabet

perabet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

ankara escort

grandpashabet giriş

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

jojobet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

esbet

vdcasino

vaycasino giriş

perabet

perabet

perabet giriş

imajbet

imajbet giriş

imajbet

kralbet giriş

elitbahis

สล็อตเว็บตรง

zirvebet

superbetin

jojobet

jojobet

jojobet

trust score weak 3

jojobet

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

imajbet

imajbet giriş

jojobet

casibom

casibom

jojobet güncel giriş

casibom

dinamobet giriş

netbahis

1xbet giriş

vipslot

bahis siteleri

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

avşa kiralık daire

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

grandpashabet

deneme bonusu veren siteler

eminevim

tipobet

tipobet giriş

galabet, galabet giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

roketbet, roketbet giriş

Featured Kitaifa

BENKI YA EXIM YAAHIDI UWEKEZAJI ZAIDI UTUNZAJI MAZINGIRA

Written by Alex Sonna

Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Benki hiyo Bw Stanley Kafu akitoa salamu za benki hiyo wakati wa kilele cha maadhimisho ya Siku ya Msalaba Mwekundu Duniani yaliyokwenda sambamba na maadhimisho ya  miaka 60 ya Shirika la Msalaba Mwekundu Tanzania (TRCS) yaliyoambatana na zoezi la upandaji wa miti katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma mwishoni mwa wiki. Benki hiyo ilikuwa ni moja ya wadhamini wakubwa wa maadhimisho hayo. Wanaomsikiliza meza kuu ni pamoja na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Seleman Jafo (katikati) na Rais wa TRCS, David Kihenzile (Mb)

Meneja wa Benki ya Exim Tawi la Dodoma Bw Jalala Kizigo akishiriki zoezi la upandaji wa miti wakati wa kilele cha maadhimisho ya Siku ya Msalaba Mwekundu Duniani yaliyokwenda sambamba na maadhimisho ya  miaka 60 ya Shirika la Msalaba Mwekundu Tanzania (TRCS) yaliyoambatana na zoezi la upandaji wa miti katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma mwishoni mwa wiki. Benki hiyo ilikuwa ni moja ya wadhamini wakubwa wa maadhimisho hayo.Wanaoshuhudia ni pamoja na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Seleman Jafo (katikati).

Wafanyakazi wa Benki ya Exim tawi la Dodoma wakiongozwa na Meneja wa Benki ya Exim Tawi la Dodoma Bw Jalala Kizigo (wa pili kulia) wakishiriki zoezi la upandaji wa miti wakati wa kilele cha maadhimisho ya Siku ya Msalaba Mwekundu Duniani yaliyokwenda sambamba na maadhimisho ya  miaka 60 ya Shirika la Msalaba Mwekundu Tanzania (TRCS) yaliyoambatana na zoezi la upandaji wa miti katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma mwishoni mwa wiki. Benki hiyo ilikuwa ni moja ya wadhamini wakubwa wa maadhimisho hayo.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Seleman Jafo (katikati) na Rais wa TRCS, David Kihenzile (Mb) wakiwa kwenye picha ya pamoja na wadau mbalimbali wakiwemo Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Benki hiyo Bw Stanley Kafu (Kulia waliosimama) na Meneja wa Benki ya Exim Tawi la Dodoma Bw Jalala Kizigo (Kushoto waliosimama) wakati wa kilele cha maadhimisho hayo.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Seleman Jafo (katikati) na Rais wa TRCS, David Kihenzile (Mb) wakiongoza maandamano ya wadau mbalimbali wakati wa kilele cha maadhimisho ya Siku ya Msalaba Mwekundu Duniani yaliyokwenda sambamba na maadhimisho ya  miaka 60 ya Shirika la Msalaba Mwekundu Tanzania (TRCS) yaliyoambatana na zoezi la upandaji wa miti katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma mwishoni mwa wiki.

…………………………………….

Benki ya Exim Tanzania imeahidi kushirikiana zaidi na wadau mbalimbali sambamba na kuunga mkono juhudi za Serikali katika kupambana na mabadiliko ya tabia ya nchi kwa kushiriki kikamilifu katika kuunga mkono jitihada za utunzaji mazingira hususani kwa upandaji wa miti.

Ahadi ya benki hiyo imetolewa na Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Benki hiyo Bw Stanley Kafu katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Msalaba Mwekundu Duniani yaliyokwenda sambamba na maadhimisho ya  miaka 60 ya Shirika la Msalaba Mwekundu Tanzania (TRCS) yaliyoambatana na zoezi la upandaji wa miti katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma mwishoni mwa wiki.

Akizungumza kwenye maadhimisho hayo yaliyoongozwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Seleman Jafo, Bw Kafu alisema kupitia Program za benki hiyo zijulikanayo kama  ‘Exim Go Green Initiative’ na ‘Exim Cares’ benki hiyo imekuwa ikijihusisha na mikakati mbalimbali ya kijamii ikiwemo uchangiaji damu pamoja na utunzaji mazingira kupitia matawi yake yaliyo katika maeneo mbalimbali hapa nchini.

“Kwa upande wa ukanda huu wa kati, jiji hili la Dodoma limebahatika kuwa chaguo la Benki ya Exim katika kuendesha Programu hii. Ni Kipindi kama hiki mnamo mwaka jana, tukiongozwa na Waziri Mkuu Mstaafu Mh. Mizengo Pinda tuliweza kushirikiana na wadau wengine mkoani hapa katika kupanda takribani miti 10,000 katika kata ya Zuzu iliyopo hapa jijini Dodoma.’’ Alisema Kafu.

Licha ya kushiriki kikamilifu katika zoezi la upandaji miti, benki hiyo pia ilichangia fedha kiasi cha Sh mil 15 kwa Shirika la Msalaba Mwekundu Tanzania (TRCS) ili kufanikisha zoezi hilo la upandaji miti.

Alisema taasisi ya kifedha nchini ikiwemo benki hiyo zimekuwa zikiguswa na athari za kiuchumi zinazotokana na kuzorota kwa sekta za uzalishaji ikiwemo kilimo kutokana na mabadiliko ya tabia nchi na hiyo imekuwa moja ya sababu kubwa zinazosababisha taasisi hiyo kushiriki mstari wa mbele katika kukabiliana na changamoto ya mabadiliko ya tabia nchi kwa kutunza mazingira ikiwemo upandaji miti.

Akizungumza kwenye maadhimisho hayo Waziri Jafo pamoja na kuipongeza benki hiyo pamoja na wadau wengine kwa kuunga mkono jitihada za utunzaji wa mazingira hapa nchini, aliwataka Watanzania kuungana kwa pamoja katika kujitolea utoaji wa huduma za jamii ikiwemo ushiriki wa uokoaji nyakati za majanga pamoja na ushiriki wa utunzaji wa mazingira kwa upandaji wa miti.

“Na hii ndio sababu nawapongeza  TRCS  kwa kushirikiana na wadau mbalimbali kwa jitihada hizi muhimu na za kizalendo. Ninaomba jitihada hizi ziendelee katika kukabiliana na majanga mbalimbali pindi yanapotokea,’’ alisema.

Awali akizungumza kwenye maadhimisho hayo  Rais wa TRCS, David Kihenzile (Mb) aliiomba serikali na wadau mbalimbali nchini kuendelea kuunga mkono jitihada za Shirika hilo kwa kuwa zinalenga kuisaidia jamii moja kwa moja katika masuala mbalimbali ikiwemo majanga na dharula.

“Ndio maana tumeguswa sana na uungwaji mkono tulioupata kutoka kwa wadau mbalimbali ikiwemo Benki ya Exim kwa kuwa msaada wao umetuwezesha kufanikisha zoezi hili muhimu la upandaji miti pamoja na zoezi la uchangiaji damu…tunawashukuru sana tunaomba na wengine waige mfano huo kwa kuwa bado tunahitaji sana uungwaji mkono,’’ alisema Kihenzile.

About the author

Alex Sonna