Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

holiganbet

marmaris escort

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz giriş

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

ibizabet

ultrabet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

imajbet

betebet

gonebet

piabet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

betsat

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

bets10

dinamobet giriş

casibom

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

ultrabet

fixbet

fixbet

casibom

fixbet

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

türk porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

pokerklas giriş

grandpashabet

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet güncel giriş

girne escort

magusa escort

slot siteleri

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Featured Kitaifa

MANYARA WAPATIWA MBINU MPYA KUMALIZA OPERESHENI ANWANI ZA MAKAZI KABLA YA SENSA

Written by Alex Sonna

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mohammed Khamis Abdulla akikagua nguzo yenye jina la barabara ya Mkoani na Mtaa wa Tanroad wakati wa ziara ya kukagua na kuhamasisha utekelezaji wa Mfumo wa Anwani za Makazi katika Mkoa wa Manyara.

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mohammed Khamis Abdulla akikagua kibao cha namba ya nyumba kwenye duka la vifaa vya ujenzi katika Mji wa Babati, wakati wa ziara ya kukagua na kuhamasisha utekelezaji wa Mfumo wa Anwani za Makazi katika Mkoa huo.

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mohammed Khamis Abdulla akikagua vibao vya namba za nyumba wakati vinavyotengenezwa katika Karakana ya Chuo cha VETA Mkoa wa Manyara

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mohammed Khamis Abdulla akikagua kibao cha Anwani ya Chuo cha VETA mkoa wa Manyara.

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mohammed Khamis Abdulla, akisain kitabu cha wageni alipotembelea karakana ya Chuo cha VETA mkoani Manyara katika ziara ya kukagua utekelezaji wa Mfumo wa Anwani za Makazi katika mkoa huo.

…………………………………………..

Faraja Mpina na Chedaiwe Msuya, WHMTH, MANYARA

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mohammed Khamis Abdulla ametoa rai kwa watendaji wa mkoa wa Manyara kutumia mbinu mbadala katika uwekaji wa miundombinu ya mfumo wa Anwani za Makazi ili kukamilisha zoezi kwa muda uliopangwa na Serikali kwa lengo la kurahisisha zoezi la sensa ya watu na makazi 

Abdulla amebainisha hayo wakati wa ziara yake ya kikazi mkoani hapo kwa ajili ya kukagua na kuhamasisha utekelezaji wa zoezi la Anwani za Makazi ambapo mkoa wa Manyara upo katika orodha ya mikoa ambayo imetekeleza kwa asilimia chache uwekaji wa nguzo za barabara na mitaa pamoja na namba za nyumba.

Amesema kuwa, “Inawezekana mkaanza kwa kuweka hata nguzo za mbao na kutumia rangi kuchora namba za nyumba ili tukamilishe zoezi hili kwa wakati kwa kuwa zoezi la sensa linategemea miundombinu ya mfumo wa Anwani za Makazi.”

Naibu Katibu Mkuu huyo amewataka watendaji wa halmashauri zote za mkoa huo kuwa wabunifu na kukamilisha zoezi hilo kwa wakati mahususi kwa ajili ya kurahisha ufanyikaji wa zoezi la sensa na baadae kuboresha zaidi kwa mujibu wa miongozo ya uwekaji wa miundombinu hiyo kupitia mapato yao ya ndani ya halmashauri pamoja na kuhusisha wadau wa maendeleo.

aarifa ya utekelezaji ya mkoa wa Manyara yenye jumla ya halmashauri saba ambazo ni halmashauri mbili za Miji (Babati, Mbulu) na halmashauri tano za Wilaya (Babati, Mbulu,Kiteto, Hanang, Simanjiro) inaonyesha Anwani za Makazi 372,455 zimekusanywa ikiwa ni asilimia 103 ya lengo la kukusanya Anwani 362,987

Aidha, kwa upande wa uwekaji wa miundombinu ya nguzo za barabara na mitaa pamoja na uwekaji wa namba za nyumba linaendelea kufanyika kupitia mapato ya ndani na wadau mbalimbali zikiwemo taasisi za TARURA, TANROAD na VETA za mkoani hapo 

Katika hatua nyingine, Naibu Katibu Mkuu huyo ametoa muda hadi Mei 5, mwaka huu, kwa Mkoa wa Manyara kukamilisha zoezi la uwekaji wa miundombinu hiyo ambapo Katibu Tawala wa Mkoa huo, Bi. Karolina Mthapula pamoja na watendaji wa halmashauri za mkoa huo waliridhia na kumhakikishia Naibu Katibu Mkuu huyo kuwa watajipanga kwa kutumia mbinu mbadala walizopewa na kwa kushirikiana na wadau zoezi litakamilika kwa muda uliopangwa.

About the author

Alex Sonna