Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

mavibet

setrabet

betebet

betebet

gonebet

piabet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

betsat

dinamobet giriş

casibom

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

ultrabet

fixbet

fixbet

casibom

fixbet

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet güncel giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

pokerklas

grandpashabet

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

betsat güncel giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Featured Kitaifa

WATAALAMU WAZAWA WAZIBUA MISHIPA PACHA YA MOYO ILIYOZIBA KWA ASILIMIA 95

Written by Alex Sonna

Wataalamu  wazawa wa magonjwa ya moyo na wazibuaji wa mishipa ya damu ya moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakimzibua mgonjwa   mishipa miwili iliyokuwa inapeleka damu kwa wakati mmoja kwenye moyo (mishipa pacha ya damu – bifurcation lesion) iliyokuwa imeziba kwa asilimia 95 na kupata shida ya kupitisha damu. Uzibuaji wa mishipa hiyo ulifanyika kwa njia ya upasuaji wa moyo kwa kutumia tundu dogo (Minimum Invasive Surgery) bila kufungua kifua kwa kutoboa mshipa kwenye paja (Percutaneous Coronary Angioplasty) kwa kutumia mtambo wa Cathlab (Catheterization Laboratory) ambayo ni maabara inayotumia mionzi maalum kwa ajili ya uchunguzi na tiba za magonjwa ya moyo. 

Picha na JKCI

………………………………………………..

Na Mwandishi Maalum – Dar es Salaam

Kwa mara ya kwanza wataalamu wazawa wa magonjwa ya moyo na wazibuaji wa mishipa ya damu ya moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wamezibua mishipa miwili iliyokuwa inapeleka damu kwa wakati mmoja kwenye moyo (mishipa pacha ya damu – bifurcation lesion) ambayo ilikuwa imeziba kwa asilimia 95 na kupata shida ya kupitisha damu.

Uzibuaji wa mishipa hiyo ulifanyika kwa njia ya upasuaji wa moyo kwa kutumia tundu dogo (Minimum Invasive Surgery) bila kufungua kifua kwa kutoboa mshipa kwenye paja (Percutaneous Coronary Angioplasty) kwa kutumia mtambo wa Cathlab (Catheterization Laboratory) ambayo ni maabara inayotumia mionzi maalum kwa ajili ya uchunguzi na tiba za magonjwa ya moyo.

Hayo yamesemwa hivi karibuni  jijini Dar es Salaam na daktari mbobezi wa magonjwa ya moyo Tulizo Shemu ambaye pia ni mzibuaji wa mishipa ya damu ya moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakati akiongea na mwandishi wa habari hizi mara baada ya kumaliza kufanya upasuaji huo uliochukuwa masaa mawili na nusu na kuhusisha jopo la madaktari wabobezi watatu.

Dkt.Shemu alisema uzibuajia wa mishipa miwili pacha ambayo imeziba kwa wakati mmoja walikuwa wanafanya kwa kushirikiana na wataalamu wenzao kutoka nje ya nchi ambao wanafika katika Taasisi hiyo kwa ajili ya kutoa huduma za matibabu na mafunzo lakini sasa hivi wataalamu wazawa wameweza kufanya wenyewe upasuaji wa aina hiyo.

Alisema kabla ya kufanya upasuaji huo walikuwa wanakutana na wagonjwa ambao mishipa kama hiyo ilikuwa imeziba, walikuwa wanazibua upande mmoja wa mshipa wa moyo na baada ya siku kadhaa kupita wanazibua mshipa mwingine uliobaki jambo ambalo lilikuwa linaweza kusababisha mshipa uliozibuliwa nao kuziba tena na kuhatarisha maisha ya mgonjwa. Pia kufanya gharama ya upasuaji kuwa  mara mbili kwa mgonjwa.

 “Wakati wa kufanya uchunguzi tuligundua mishipa hii muhimu ya damu ilikuwa imeziba kwa wakati mmoja tumefanikiwa kuizibua yote miwili. Kufanya upasuaji wa aina hii siyo rahisi kwani ni upasuaji mgumu (Complex Percutaneous Coronary Intervention – PCI), katika upasuaji  huu wataalamu wanakuwa wengi, vifaa vinavyotumika ni vingi na vya aina tofauti tofauti na  tunatumia muda mrefu.Faida za kufanya upasuaji wa kuzibua mishipa miwili kwa pamoja  ni kuokoa maisha ya mgonjwa na kuokoa gharama za upasuaji”, alisema Dkt. Shemu.

Alisema mishipa ya damu ya  moyo inaziba kutokana na kuwepo kwa mafuta mengi katika mishipa (cholesterol) hiyo ambayo inapatikana kwa kula kiasi kikubwa cha  vyakula vyenye  wanga, sukari  na vyenye mafuta mengi kwani katika mwili wa binadamu mafuta  yanahifadhiwa sehemu mbalimbali ikiwa ni pamoja na kwenye ini, figo, moyo na mishipa ya damu.

Dkt. Shemu alisema magonjwa ya mishipa ya damu ya moyo yamekuwa yakisababisha vifo vya ghafla na kiharusi na kuwataka watu wanapojisikia moyo kuuma, mwili kuchoka baada ya kufanya kazi kidogo au kutembea umbali mfupi kuwahi hospitali mapema kwa ajili ya kufanyiwa uchunguzi ili kama watakutwa na matatizo ya moyo waweze kupata matibabu mapema na kwa wakati wakikaa nyumbani shida zitaongezeka zaidi pamoja na kupoteza maisha.

“Sasa hivi magonjwa ya mishipa ya damu ya moyo  yanasababisha vifo vya watu wengi ni muhimu kubadili mtindo wa maisha kwa kula chakula bora, kufanya mazoezi, kunywa pombe kwa kiasi, kuacha kuvuta sigara na kupunguza  msongo wa mawazo wanaokutana nao katika maisha kwa kufanya hivyo unaweza kuepuka kupata magonjwa haya”, alisisitiza Dkt. Shemu.

Kwa upande wake Mama Sada Haji kutoka Zanzibr ambaye alizibuliwa mishipa hiyo ya damu alishukuru kwa huduma aliyoipata na kusema alikuwa anapata maumivu makali eneo la kifuani upande  wa kushoto, akibeba mizigo mdogo anakosa nguvu pia anatoka jasho jingi.

“Baada ya kujisikia maumivu nilipelekwa Hospitali ya kwanza na kuandikiwa dawa za kutumia nilizitumia dawa hizo kwa muda wa miaka nane lakini tatizo likawa linaendelea. Watoto wangu walinipeleka  Hospitali nyingine na kufanyiwa vipimo na kugundulika kuwa na tatizo kwenye moyo daktari akanituma kuja kutibiwa hapa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete. Baada ya kufika hapa na kufanyiwa vipimo siku ya Alhamisi iliyopita niliambiwa mishipa miwili ya damu ilikuwa imeziba na inatakiwa kuzibuliwa”,.

“Siku ya Jumatatu tarehe 4/04/2022 nilifanyiwa upasuaji wa kuzibuliwa mishipa hiyo baada ya kufanyiwa upasuaji huo sasa hivi najisikia vizuri, maumivu hakuna tena kama ilivyokuwa awali, ninakula chakula vizuri na daktari ameniambia nitaruhusiwa kurudi nyumbani siku chache zijazo”, alisema Mama Sada.

Mama Sada aliwashauri watu wenye matatizo kama yake wasikate tamaa wakisikia maumivu waende Hospitali wakafanyiwe uchunguzi kwani vifaa vipo na wataalamu wapo wanaotoa huduma za kuzibua mishipa ya damu ya moyo.

About the author

Alex Sonna