Michezo

MATUKIO KATIKA PICHA: SPIKA DKT.TULIA AKIJIFUA KWA AJILI YA MASHINDANO YA MARATHONI MBEYA

Written by mzalendoeditor

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akifanya mazoezi ya kukimbia katika uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma leo Aprili 11, 2022 kwa ajili ya maandalizi ya mashindano ya MBEYA TULIA MARATHON yanayotarajiwa kufanyika Jijini Mbeya kuanzia Mei 6 na 7, 2022 yenye lengo ya kuboresha miundombinu ya elimu na afya. (Pembeni yake ni msaidizi wake Bi. Martha Lyafunyile)

PICHA NA OFISI YA BUNGE

About the author

mzalendoeditor