Featured Kitaifa

RAIS SAMIA ATETA NA WAZIRI WA NCHI,WIZARA YA MAMBO YA NJE YA SHIRIKISHO LA JAMHURI YA UJERUMANI.

Written by mzalendoeditor

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akiwa katika mazungumzo na Waziri wa Nchi, Wizara ya Mambo ya Nje ya Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani Mhe. Katja Keul mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akizungumza na kuagana na Waziri wa Nchi, Wizara ya Mambo ya Nje ya Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani Mhe. Katja Keul mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Nchi, Wizara ya Mambo ya Nje ya Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani Mhe. Katja Keul mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 11 Aprili, 2022.

About the author

mzalendoeditor