RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Stanbic Tanzania Bw.Kevin Wingfield (kulia kwa Rais) akiwa na Ujumbe wake wakiwa katika mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Stanbic Tanzania Bw.Kevin Wingfield (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Kitabu cha Historia ya Standard Bank Group ambayo ni kampuni mama ya Stanbic Bank Tanzania, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 11-4-2022.(Picha na Ikulu

Previous articleTANZANIA, UJERUMANI KUSHIRIKIANA KUBORESHA UTAMADUNI
Next articleRAIS SAMIA ATETA NA WAZIRI WA NCHI,WIZARA YA MAMBO YA NJE YA SHIRIKISHO LA JAMHURI YA UJERUMANI.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here