Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bank of Africa Bw. Nehemia Kyando Mchechu akikaribishwa na Mkurugenzi na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki hiyo, Bw. Adam Mihayo wakati alipofanya ziara ya kikazi katika ofisi za makao makuu ya benki hiyo juzi.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bank of Africa Bw.Nehemia Kyando Mchechu akiongea na viongozi wa benki hiyo wakati alipofanya ziara ya kikazi katika ofisi za makao makuu ya benki hiyo jijini Dar es alaam juzi,(wa kwanza kushoto) ni Mkurugenzi na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki hiyo, Bw. Adam Mihayo.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bank of Africa Bw.Nehemia Kyando Mchechu (Kushoto) akipokea nyaraka za kazi kutoka kwa Mkurugenzi na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki hiyo, Bw. Adam Mihayo wakati alipofanya ziara ya kikazi katika ofisi za Makao Makuu ya Benki hiyo jijini Dar es alaam juzi.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bank of Africa Bw.Nehemia Kyando Mchechu akibadilishana mawazo na Mkurugenzi na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki hiyo, Bw. Adam Mihayo, wakati alipofanya ziara ya kikazi katika ofisi za makao makuu ya benki hiyo jijini Dar es alaam juzi.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bank of Africa Bw.Nehemia Kyando Mchechu (wa pili kutoka kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Maofisa Waandamizi wa benki wakati alipofanya ziara ya kikazi katika ofisi za makao makuu ya benki hiyo jijini Dar es alaam juzi.
Previous articleMATUKIO KATIKA PICHA:MAPOKEZI YA MAKAMU MWENYEKITI WA CCM KINANA YATIKISA DAR ES SALAAM
Next articleMBOWE AANZA KAMPENI YA ‘JOIN THE CHAIN’ AKUSANYA PESA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here