Featured Kitaifa

MATUKIO KATIKA PICHA:MAPOKEZI YA MAKAMU MWENYEKITI WA CCM KINANA YATIKISA DAR ES SALAAM

Written by mzalendoeditor

   Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Ndg. Abdulrahman Omar Kinana akisalimiana na wazee wa CCM katika hafla ya kumkaribisha Makamu mwenyekiti huyo leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini wa Dar Es Salaam muda huu  

Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Ndg. Abdulrahman Omar Kinana akifurahi jambo na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe.Daniel Chongolo katika hafla ya kumkaribisha Makamu mwenyekiti huyo leo katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini wa Dar Es Salaam muda huu 

   Baadhi ya wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM)wakishangilia katika hafla ya kumkaribisha Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Ndg. Abdulrahman Omar Kinana Mkoa wa Dar Es Salaam katika ukumbi wa Diamond Jubilee .

About the author

mzalendoeditor