MAHAKAMA Nchini Kenya imetoa Uamuzi wa kuruhusu Wanaume kupewa Malezi ya Watoto walio chini ya miaka tisa. Mahakama yasema wajibu wa Mzazi haufai kwenda kwa Wanawake tu ikiwa Watoto wana umri mdogo

Chini ya Sheria ya Kenya, Mama mara nyingi hupewa Haki ya kulea Watoto wadogo, lakini anaweza kupoteza Haki hiyo pale anapoonekana kuwa Mzazi asiyefaa.

Previous articleMBOWE AANZA KAMPENI YA ‘JOIN THE CHAIN’ AKUSANYA PESA
Next article BRAZIL WAWEKA DAU NONO KWA GUARDIOLA KUIFUNDISHA TIMU YA TAIFA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here