Featured Kimataifa

MAHAKAMA YARUHUSU WANAUME KULEA WATOTO CHINI YA MIAKA 9

Written by mzalendoeditor


MAHAKAMA Nchini Kenya imetoa Uamuzi wa kuruhusu Wanaume kupewa Malezi ya Watoto walio chini ya miaka tisa. Mahakama yasema wajibu wa Mzazi haufai kwenda kwa Wanawake tu ikiwa Watoto wana umri mdogo

Chini ya Sheria ya Kenya, Mama mara nyingi hupewa Haki ya kulea Watoto wadogo, lakini anaweza kupoteza Haki hiyo pale anapoonekana kuwa Mzazi asiyefaa.

About the author

mzalendoeditor