marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

marsbahis giriş

NervEase

escort sakarya

sakarya escort

izmit escort

matbet

teosbet

meritking giriş

ganobet

bets10 giriş

betnano

pusulabet giriş

grandpashabet

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

casinoroyal

kavbet

marsbahis

perabet giriş

kavbet

casinowon giriş

mavibet giriş

imajbet

mavibet

pashagaming

marsbahis

kulisbet giriş

pusulabet giriş

bahiscasino, bahiscaasino giriş

betgar, betgar giriş

bahiscasino, bahiscaasino giriş

betkolik, betkolik giriş

jojobet

restbet

jojobet giriş

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

bettilt

trimology review

celtabet

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

tarafbet giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

betosfer

bilgi kutusu

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

tümbet giriş

tümbet

tümbet

tümbet giriş

netbahis

netbahis giriş

netbahis

netbahis giriş

ultrabet

starzbet

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

netbahis

netbahis giriş

betsat

betsat giriş

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

kıbrıs escort

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

ilbet

ilbet giriş

xslot

xslot giriş

bets10

bets10 giriş

bets10 giriş

Fixbet

jojobet

grandpashabet

galabet

İkimisli

onwin

sahabet

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10 giriş

casibom

lunabet

lunabet giriş

imajbet

bahiscasino

perabet

lunabet

kavbet

artemisbet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

ifşa

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

bets10

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

grandpashabet

Hacklink Panel

nesinecasino

vdcasino

bets10

perabet

perabet

perabet giriş

artemisbet

imajbet giriş

imajbet

kralbet giriş

imajbet

สล็อตเว็บตรง

bets10 giriş

bettilt giriş

holiganbet giriş

jojobet

jojobet

trust score weak 3

jojobet

Holiganbet

hitbet

kavbet

kavbet

jojobet

casibom

casibom

casibom

casibom

dinamobet

netbahis

1xbet giriş

vipslot

galabet giriş

interbahis

Featured Kitaifa

WAVUVI WATAKIWA KUACHA KUFANYA KAZI KWA MAZOEA KUEPUKA VIFO, KUPOTEZA MALI

Written by Alex Sonna
AFISA Mfawidhi wa Shirika la
Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) Mkoani Tanga Captain Christopher Shalua
kulia akiwaonyesha wavuvi wa Mwalo wa Sahare Jijini Tanga namna ya kuvaa vifaa vya kujiokolea wanapokuwa majini wakati alipokwenda akizungumza na wavuvi, wamiliki wa vyombo, manahodha na
wananchi wa Vijiji vya Monga Vyeru wilayani Mkinga na Mwalo wa Sahare
Jijini Tanga mkoani Tanga  kutoa elimu ya umuhimu wa usalama
na utunzaji wa mazingira

AFISA Mfawidhi wa Shirika la
Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) Mkoani Tanga Captain Christopher Shalua
kulia akiwaonyesha wavuvi wa namna ya
kuvaa vifaa vya kujiokolea wanapokuwa majini wakati alipokwenda
akizungumza na wavuvi, wamiliki wa vyombo, manahodha na
wananchi wa Vijiji vya Monga Vyeru wilayani Mkinga mkoani Tanga  kutoa elimu ya umuhimu wa usalama
na utunzaji wa mazingira

AFISA Mfawidhi wa Shirika la
Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) Mkoani Tanga Captain Christopher Shalua kulia akiwaonyesha wavuvi wa Mwalo wa Sahare Jijini Tanga vifaa vya kujiokolea wanapokuwa baharini ambavyo ni muhimu kuhakikisha wanakuwa navyo kabla ya kuingia majini kufanya shughuli zao wakati wa utoaji wa  elimu ya umuhimu wa usalama
na utunzaji wa mazingira
AFISA Mfawidhi wa Shirika la
Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) Mkoani Tanga Captain Christopher Shalua kulia akisisitiza jambo kwa wavuvi wa mwalo wa Sahare Jijini Tanga wakati wa utoaji wa  elimu ya umuhimu wa usalama
na utunzaji wa mazingira

AFISA Mfawidhi wa Shirika la
Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) Mkoani Tanga Captain Christopher Shalua kulia akisisitiza jambo wakati akizungumza na wavuvi, wamiliki wa vyombo, manahodha na
wananchi wa Vijiji vya Monga Vyeru wilayani Mkinga

AFISA Mfawidhi wa Shirika la
Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) Mkoani Tanga Captain Christopher Shalua
kulia akizungumza  jambo wakati akizungumza na wavuvi, wamiliki wa
vyombo, manahodha na
wananchi wa Vijiji vya Monga Vyeru wilayani Mkinga

AFISA Uhusiano Mwandamizi wa Shirika la TASAC Kitengo cha Mahusiano na Masoko Amina  Miruko akizungumza wakati wa utoaji wa elimu
 kwa wavuvi, wamiliki wa
vyombo, manahodha na
wananchi wa Vijiji vya Monga Vyeru wilayani Mkinga
Afisa Mfawidhi wa Shirika la
Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) Mkoani Tanga Captain Christopher Shalua kulia akifuatilia kwa umakini maswali kutoka kwa wavuvi,wamiliki wa vyombo
Afisa Masoko Mwandamizi wa Shirika la TASAC Martha Kalvin akieleza jambo kwa wavuvi kuhusu umuhimu wa usalama wawapo kwenye shughuli zao

Sehemu ya wavuvi,wamiliki wa vyombo na manahodha wakimsikiliza Ofisa Mfawidhi wa TASAC Mkoani Tanga Captain Christopher Shalua elimu ya umuhimu wa usalama
na utunzaji wa mazingira.

NA OSCAR ASSENGA, TANGA.

SHIRIKA la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) limesisitiza
umuhimu wa wavuvi kuzingatia usalama ikiwemo kuwataka kuacha kufanya
kazi kwa mazoea wanapokuwa katika shughuli za Uvuvi wawapo majini ili
kuwaepusha na vifo,majeruhi na kupoteza mali.

Huku wakisisitiziwa umuhimu wa kuwa na vifaa vya kujiokolea
wanapokuwa majini ili viweze kuwasaidia kuepukana na ajali ambazo
wanaweza kukumbana nazo.

Wito huo ulitolewa leo na Afisa Mfawidhi wa Shirika la
Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) Mkoani Tanga Captain Christopher Shalua
wakati na akizungumza na wavuvi, wamiliki wa vyombo, manahodha na
wananchi wa Vijiji vya Monga Vyeru wilayani Mkinga na Mwalo wa Sahare
Jijini Tanga mkoani Tanga walipokwenda kutoa elimu ya umuhimu wa usalama
na utunzaji wa mazingira.

Alisema kwamba ni muhimu kwao kuweza kuhakikisha
wanazingatia usalama wakati wanapokwenda kufanya shughuli zao kwani hilo
litawaepusha na majanga ambayo wanaweza kukutana nayo na kupelekea
kupata majeraha au kupoteza maisha na mali.

“Serikali imeona hilo ni jambo la msingi sana na ndio maana
tumeona leo tuje hapa Monga Vyeru kuwapa elimu hii ya usalama  na
utunzaji wa mazingira hususani mnapokuwa kwenye shughuli zenu hili ni
jambo hilo lakini pia kuhakikisha mnakuwa na vifaa vya uokozi”Alisema

“Kwani tunatambua kwamba pia wavuvi wana familia hivyo
elimu hii itaweza kuwasaidia kupunguza ajali,kuondoa vifo na kupunguza
majeruhi na kuacha familia kuwa tegemezi”Alisema

Afisa Mfawidhi huyo alisema shughuli za usalama sio jambo
la mtu mmoja bali ni watu wote hivyo lazima wahakikisha wanazingitia
sheria za usalama ikiwemo kuvaa majaketi ya kujiokolea “life jacket” ili
yaweze kuwasaidia pindi wanapokumbana na dhoruba baharini waweze
kujiokoa.

“Lakini pia kuhakikisha tunakuwa tunazingatia usalama
tuwapo majini moto unawaka kutokana na mafuta hauwezi kuuzima na maji ni
lazima uhakikisha unatumia mchanga au poda maalumu “Alisema

Hata hivyo alisema ni muhimu na vizuri kwa wenye vyombo
vinavyotumika kwa ajili ya shughuli za uvuvi wanakuwa na watu wenye
ujuzi na kufanya kazi za majini ikiwemo wajibu wa mmiliki kutii sheria
bila shuruti kuhakikisha usalama wake.

Hata hivyo Afisa Mfawidhi huyo aliwataka kuhakikisha kabla
hawajaingia majini kuendelea na shughuli zao lazima wawe na cheti kutoka
kwenye Shirika hilo ambavyo vinawaruhusu kufanya kazi majini.

“Lakini suala jingine sheria imemuelekeza Afisa Uvuvi
asipope leseni ya uvuvi mpaka awe amepata cheti cha Shirika la TASAC cha
kuruhusiwa kufanya kazi majini ”Alisema

About the author

Alex Sonna