KATIBUĀ  Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Zainab Chaula, Aprili 08, 2022 amewaongoza wananchi na watumishi wengine wa wizara hiyo katika mazishi aliyekuwa Mkuu wa Chuo cha Maendeleo ya Jamii (CDTI) Monduli marehemu Elibariki Martin Ulomi.

Mazishi haya yaliyohudhuriwa na Watumishi wa Wizara kutoka Makao Makuu na Vyuo vya Maendeleo ya Jamii yamefanyika katika eneo la Ngaluma, Marangu mkoani Kilimanjaro.

Marehemu Elibariki Martin Ulomi alifariki tarehe 03/04/2022 katika Hospitali ya Rufaa KCMC Moshi alipokuwa akipata matibabu. Bwan Alitoa na Bwana Ametwaa Jina lake lihimidiwe. Amina

Previous articleWAVUVI WATAKIWA KUACHA KUFANYA KAZI KWA MAZOEA KUEPUKA VIFO, KUPOTEZA MALI
Next articleUTEUZI:PAPA FRANCIS AMTEUA PADRE WOLFGAN PISA KUWA ASKOFU MPYA WA JIMBO KATOLIKI LA LINDI

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here