Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

robinbet

timebet

porno izle

porno izle

türk ifşa izle

evcil hayvan satış

uyuşturucu satın al

runtobet

runtobet giriş

1xbet

avrupabet, avrupabet giriş

gameofbet

jojobet

avrupabet

elitbahis

casival

celtabet

avrupabet

betlivo

parmabet

betnis

parmabet

betmarino

realbahis

lordcasino

lordcasino

aresbet

betra

gallerbahis

gobahis

hazbet

matbet

betra

luxbet

betmarino

celtabet

casival

luxbet

millibahis

betlivo

betcool

realbahis

gallerbahis

millibahis

gobahis

betnis

bungalov kiralama

kiralık bungalov

alobet, alobet giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu

betpas

betcup

casinofast giris

matbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

jojobet

jojobet giriş

betbox

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

meritbet giriş

deneme bonusu veren siteler

meritbet

jojobet güncel giriş

marsbahis

bets10

betsat

jojobet

marsbahis

ultrabet

mavibet

mavibet

setrabet

betpas

perabet

ibizabet

deneme bonusu veren siteler

sapanca bungalov kiralama

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

vipslot

vipslot

betcool

celtabet

hazbet

matbet giriş

betlike giriş

mavibet giriş

matbet güncel giriş

mavibet

mavibet

matbet giriş

matbet

mavibet giriş

betlike

mavibet giriş

mavibet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

betsat

pokerklas, pokerklas giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betpark

betsat giriş

dinamobet

betpas

grandpashabet

casibom

grandpashabet

casibom

jojobet

jojobet

betpas

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

betmarino

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betface

betface

Featured Kitaifa

MRADI WA SITT WAONGEZA UFAULU KWA ASILIMIA 30

Written by Alex Sonna

Mkuu wa Idara ya Elimu na Mafunzo CWT, Stella Kiyabo,akizungumza wakati wa Warsha ya Kupokea taarifa ya Tathmini ya Utekelezaji wa Mradi wa uboreshaji Elimu uitwao Inclussive School-based In-service Teacher Training (SITT) unaofadhiliwa na CWT kwa kushirikiana na Shirika la Helvetas jijini Dodoma.

Mhadhiri na Mtafiti kutoka Chuo Kikuu cha Bern, Idara ya Uchumi na Utafiti nchini Uswisi, Dk.Konstantin Büchel,akiwasilisha matokeo ya tathmini ya Utekelezaji wa Mradi wa uboreshaji Elimu uitwao Inclussive School-based In-service Teacher Training (SITT) unaofadhiliwa na CWT kwa kushirikiana na Shirika la Helvetas jijini Dodoma. 

Mkurugenzi wa Shirika la Helvetas nchini, Annet Witteveen,akizungumzia jinsi walivyoamua kuingia kwenye mradi huo kuungana na CWT baada ya kuona kuna uhitaji wa kuendeleza elimu nchini.

Mbunge wa Urambo (CCM) Magreth Sitta na Mwenyekiti wa Kamati ya ushauri wa Mradi wa SITT,akizungumza kwenye Warsha ya Kupokea taarifa ya Tathmini ya Utekelezaji wa Mradi wa uboreshaji Elimu uitwao Inclussive School-based In-service Teacher Training (SITT) unaofadhiliwa na CWT kwa kushirikiana na Shirika la Helvetas jijini Dodoma.

Naibu Katibu Mkuu CWT Maganga Japhet ,akizungumza wakati wa Warsha ya Kupokea taarifa ya Tathmini ya Utekelezaji wa Mradi wa uboreshaji Elimu uitwao Inclussive School-based In-service Teacher Training (SITT) unaofadhiliwa na CWT kwa kushirikiana na Shirika la Helvetas jijini Dodoma.

Mmoja wa walimu walionufaika na mafunzo hayo, Mwalimu Diana Zakaria kutoka Shule ya Msingi Ololieni Mkoa wa Arusha,akielezea mradi huo ulivyowajengea uwezo wa kufundisha wanafunzi wengi wanaokuwa kwenye chumba kimoja kwa kuwaweka kwenye makundi mbalimbali na kufundisha zaidi ya mada moja.

Meneja Mradi wa uboreshaji Elimu uitwao Inclussive School-based In-service Teacher Training (SITT) Donatian Marusu,akielezea mradi huo ulivyosaidia ufaulu kweye  Warsha ya Kupokea taarifa ya Tathmini ya Utekelezaji wa Mradi wa uboreshaji Elimu uitwao Inclussive School-based In-service Teacher Training (SITT) unaofadhiliwa na CWT kwa kushirikiana na Shirika la Helvetas jijini Dodoma.

Mdhibiti ubora wa Shule za Wilaya ,Robert Assey,akielezea mradi unavyosaidia wakati wa Warsha ya Kupokea taarifa ya Tathmini ya Utekelezaji wa Mradi wa uboreshaji Elimu uitwao Inclussive School-based In-service Teacher Training (SITT) unaofadhiliwa na CWT kwa kushirikiana na Shirika la Helvetas jijini Dodoma.

Afisa Elimu Kondoa Mjini Yovin Mtawa,akitoa ushuhuda wa mradi SITT  wakati wa Warsha ya Kupokea taarifa ya Tathmini ya Utekelezaji wa Mradi wa uboreshaji Elimu uitwao Inclussive School-based In-service Teacher Training (SITT) unaofadhiliwa na CWT kwa kushirikiana na Shirika la Helvetas jijini Dodoma.

Katibu wa CWT Mkoa wa Tabora Digna Nyaki,akichangia mada wakati wa Warsha ya Kupokea taarifa ya Tathmini ya Utekelezaji wa Mradi wa uboreshaji Elimu uitwao Inclussive School-based In-service Teacher Training (SITT) unaofadhiliwa na CWT kwa kushirikiana na Shirika la Helvetas jijini Dodoma.

Mratibu Elimu TAMISEMI Riaz Abbeid,,akizungumza wakati wa Warsha ya Kupokea taarifa ya Tathmini ya Utekelezaji wa Mradi wa uboreshaji Elimu uitwao Inclussive School-based In-service Teacher Training (SITT) unaofadhiliwa na CWT kwa kushirikiana na Shirika la Helvetas jijini Dodoma.

SEHEMU ya washiriki wakifatilia mada mbalimbali wakati wa Warsha ya Kupokea taarifa ya Tathmini ya Utekelezaji wa Mradi wa uboreshaji Elimu uitwao Inclussive School-based In-service Teacher Training (SITT) unaofadhiliwa na CWT kwa kushirikiana na Shirika la Helvetas jijini Dodoma.

PICHA ya pamoja mara baada ya Kupokea taarifa ya Tathmini ya Utekelezaji wa Mradi wa uboreshaji Elimu uitwao Inclussive School-based In-service Teacher Training (SITT) unaofadhiliwa na CWT kwa kushirikiana na Shirika la Helvetas jijini Dodoma.

………………………………

Na Alex Sonna-DODOMA

MATOKEO ya tathmini ya Mpango wa uboreshaji elimu kupitia mafunzo ya ualimu kazini (SITT) uliotelekezwa kwenye shule 408 za msingi nchini yameonesha kuongezeka kwa ufaulu wa alama za juu kwa asilimia 30.

Kutokana na matokeo hayo, Chama cha Walimu nchini(CWT) kimetoa wito kwa serikali kutoa mafunzo hayo ili kuwa na walimu mahiri na wabunifu nchini.

 Mkuu wa Idara ya Elimu na Mafunzo CWT, Stella Kiyabo, ameyasema hayo leo jijini Dodoma kwenye kikao kazi cha kupokea taarifa ya tathmini ya mradi huo unaofadhiliwa na CWT kwa kushirikiana na Shirika la Helvetas.

Amesema mradi huo unafundisha walimu mbinu rahisi za kufundishia masomo ya Hisabati, Kiingereza, Sayansi na unajihusisha na masuala ya afya na mazingira.

“Tumetaka wafanye kazi zao kwa urahisi bila kuogopa mada yeyote kwa madai kuwa ni ngumu, CWT inaionesha serikali umuhimu kuwa na mafunzo kazini kwa walimu,”amesema.

Awali akiwasilisha matokeo ya tathmini hiyo, Mhadhiri na Mtafiti kutoka Chuo Kikuu cha Bern, Idara ya Uchumi na Utafiti nchini Uswisi,  Dk.Konstantin Büchel, amesema SITT imeongeza ufaulu wa alama za juu kwa asilimia 30 huku kufeli kukipungua kwa asilimia 10.

Amesema  idara hiyo hufanya utafiti wa masuala ya maendeleo na elimu kwenye nchi mbalimbali ambapo kupitia Shirika la Helvetas  wamefanya tathmini ya mradi wa SITT.

“Tuliamua kufanya utafiti ili kuona matokeo ya mradi huu katika shule mbalimbali, tulishirikiana na Helvetas Tanzania katika kufanya tathmini kwenye Wilaya za Mbulu, Karatu, Mbulu Mji na Siha ambapo tulishirikisha walimu, wanafunzi, viongozi  ambapo wameonesha kufurahia mradi na wapo tayari kuubeba na kuendeleza zaidi kwa ajili ya manufaa ya wanafunzi na walimu,”amesema.

Amesema katika tathmini waliyowafanya wamegundua mradi unaleta tija katika ufundishaji na ujifunzaji kutokana na walimu kushirikiana, kuwa huru kufundisha na wanawapa wanafunzi nafasi kubwa kama chanzo cha maarifa.

“Tumeona ushirikishaji huo wa wanafunzi shule za mradi zimefanya vizuri katika matokeo ya mtihani wa darasa la saba na la nne, na tumegundua ongezeko la alama za juu yaani A na B zimeongezeka katika shule za mradi kwa asilimia 30 na kufeli kumekupungua kwa asilimia 10, hivyo mradi unaonesha kuleta tija ikilinganishwa na maeneo mengine,”amesema.

Naye, Meneja Mradi huo, Donatian Marusu, amesema mradi huo umefikia shule 408 na walimu 892 kwenye mikoa ya Dodoma, Shinyanga, Tabora, Singida, Arusha, Manyara na Kilimanjaro.

“Pia kupitia vyuo vya ualimu tumefikia vyuo 12, tumetoa mafunzo juu ya mbinu shirikishi za ujifunzaji, vitendo na ubunifu wa zana zinazopatikana kwenye mazingira yao, hivyo kupitia mpango wa SITT tumeona matokeo mazuri ni mradi unaofaa tunaomba wadau washirikiane na Helvetas kupanua mradi na kufikia maeneo mengine,”amesema.

Mkurugenzi wa Shirika la Helvetas nchini, Annet Witteveen, amesema waliamua kuingia kwenye mradi huo kuungana na CWT baada ya kuona kuna uhitaji wa kuendeleza elimu nchini.

Amesema kuna haja ya kupeleka mradi huo kwenye mikoa mingine ya Lindi, Geita, Mtwara na Morogoro ili kuwahakikisha wananchi wanapata mbinu mbalimbali za ufundishaji.

Mmoja wa walimu walionufaika na mafunzo hayo, Mwalimu Diana Zakaria kutoka Shule ya Msingi Ololieni Mkoa wa Arusha, amesema mradi huo umewajengea uwezo wa kufundisha wanafunzi wengi wanaokuwa kwenye chumba kimoja kwa kuwaweka kwenye makundi mbalimbali na kufundisha zaidi ya mada moja.

“Mradi wa SITT unamfanya mwalimu kujishusha kuwa sawa na wanafunzi ili kutambua matatizo mbalimbali ya wanafunzi na kuzitatua hii imesaidia kuongeza ufaulu,”amesema.

Mwalimu huyo amesema mafunzo hayo yamemsaidia kufundisha wanafunzi wa kike namna ya kutengeneza taulo za kike za asili hali ambayo imesaidia kuongeza mahudhurio kwa wanafunzi.

Ametoa wito kupanua wigo wa mradi huo ili kwenda mikoa yote nchini kwa kuwa mbinu na elimu ya hedhi ni muhimu ili kuongeza ufaulu na kuwa na wanafunzi mahiri.

About the author

Alex Sonna