Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania, Wilbrod Mutafungwa amepiga marufuku Dereva au Kondakta kushuka na kumfuata Trafiki nyuma ya gari pindi wanaposimamishwa barabarani

Amesema “Jeshi ni Taasisi kubwa, wapo (Trafiki) wachache inatokea wanajihusisha na vitendo vya rushwa, hivyo huwezi kusema Jeshi zima linahusika na rushwa. Taratibu zipo za kuwachukuliwa hatua na huwa inafanyika hiyo”

Mutafungwa amesema hayo baada ya kuwepo malalamiko ya rushwa dhidi ya Askari wa Usalama Barabarani (Trafiki) wanaosimamisha magari hasa daladala na Madereva au Makondakta kuwafuata na ‘kumalizana’ nao nyuma ya gari

Previous articleUJENZI WA BARABARA YA IGAWA HADI TUNDUMA WAIVA
Next articleWATU WENYE ULEMAVU NA WAZEE WA MSALALA WAKABIDHIWA KADI ZA BIMA ZA MATIBABU NA VIFAA VYA USAIDIZI KUTOKA BARRICK

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here