Featured Kitaifa

CHONGOLO ATETA NA MWENYEKITI CCM MKOA WA NJOMBE WAKATI WA UZINDUZI WA MBIO ZA MWENGE 2022

Written by mzalendoeditor

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akizungumza na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Njombe Ndugu Jassery Mwamwala wakati wa hafla ya uzinduzi wa mbio za Mwenge 2022, leo katika Uwanja wa Sabasaba mkoani Njombe.

About the author

mzalendoeditor