Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

runtobet

runtobet giriş

1xbet

matbet, matbet giriş

betebet

jojobet

avrupabet

elitbahis

casival

celtabet

avrupabet

betlivo

parmabet

betnis

parmabet

betmarino

realbahis

lordcasino

lordcasino

aresbet

betra

gallerbahis

gobahis

hazbet

matbet

betra

luxbet

betmarino

celtabet

casival

luxbet

millibahis

betlivo

betcool

realbahis

gallerbahis

millibahis

gobahis

betnis

coinbar

mavibet

holiganbet, holiganbet giriş

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

casibom

betewin

interbahis

casinofast giris

mislibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

jojobet

pusulabet

betbox

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

casibom

grandpashabet

jojobet

holiganbet

jojobet

betsat giriş

betsat giriş

jojobet

tambet

ultrabet

mislibet

mavibet güncel giriş

setrabet

pulibet

perabet

timebet

jojobet

mavibet giriş

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

vipslot

vipslot

betcool

celtabet

hazbet

mavibet giriş

mislibet giriş

mavibet güncel giriş

mavibet

piabellacasino

mavibet

mislibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

mislibet

mavibet giriş

mislibet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

betsat

betyap, betyap giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betpark

betsat

dinamobet giriş

casibom

casibom

jojobet

casibom

casibom

grandpashabet

grandpashabet

jojobet

jojobet

jojobet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

meritking

marsbahis giriş

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

betpas

royalbet

Betpas

betface

betface

piabellacasino giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

jojobet

jojobet

Featured Kitaifa

‘OPERESHENI ANWANI ZA MAKAZI UMEFIKIA ASILIMIA 67’-WAZIRI NAPE

Written by Alex Sonna

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye akizungumza wakati wa mkutano na Wakuu wa Mikoa uliofanyika jijini Dodoma kwa lengo la kuwasilisha taarifa ya utekelezaji wa operesheni ya Anwani za Makazi.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Innocent Bashungwa akizungumza wakati wa mkutano na Wakuu wa Mikoa uliofanyika jijini Dodoma kwa lengo la kuwasilisha taarifa ya utekelezaji wa operesheni ya Anwani za Makazi.

Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe akizungumza na Wakuu wa Mikoa na viongozi mbalimbali katika mkutano wa Wakuu wa Mikoa kwa lengo la kuwasilisha taarifa ya utekelezaji wa operesheni ya Anwani za Makazi jijini Dodoma.

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye akiagana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Innocent Bashungwa baada ya mkutano wa wakati Wizara hizo na Wakuu wa Mikoa wa kuwasilisha taarifa ya utekelezaji wa operesheni ya Anwani za Makazi uliofanyika  jijini Dodoma.

************************

Operesheni ya uwekaji wa Anwani za Makazi nchini iliyotangazwa tarehe 8 Februari mwaka huu wa 2022 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan sasa utekelezaji wake umefikia asilimia 67 kulingana na takwimu za mfumo unaopokea taarifa za utekelezaji wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari.

Taarifa hiyo imetolewa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye wakati wa mkutano na Wakuu wa Mikoa yote nchini uliofanyika jijini Dodoma uliolenga kutoa taarifa ya utekelezaji wa operesheni hiyo.

“Tathimini iliyofanyika ya kupata asilimia 67 imezingatia kazi zilizotekelezwa ikiwa ni kazi ya kutambua maeneo; kujenga uwezo kwa maafisa na watendaji wanaofanya kazi hii; kutoa elimu ya zoezi husika; kukusanya taarifa; kutengeneza mfumo utakaopokea taarifa na kuingiza taarifa kwenye mfumo ili ziweze kutumika na kuweka muundombinu (physical) katika maeneo mbalimbali nchini”, amezungumza Mhe. Nape.

Ameongeza kuwa mwenendo wa utekelezaji  unaonesha matumaini ya zoezi kukamilika kabla ya muda uliopangwa na kazi itakayofuata itakuwa ni kusafisha baadhi ya taarifa kwenye mfumo kwa hatua za kuukabidhi mfumo kwa mujibu wa maelekezo ya kuukabidhi ifikapo tarehe 22 Mei, mwaka 2022.

Kwa upande wake Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mhe. Innocent Bashungwa amesema kuwa  Wizara anayoisimamia kwa pamoja na Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari ni timu ya ushindi na wanafanya kazi kwa ushirikiano mkubwa katika kuhakikisha wanasimamia ipasavyo maelekezo ya Mhe. Rais ya kukamilisha operesheni ya Anwani za makazi mwishoni mwa mwezi Mei, 2022

“Nisisitize kuwa asilimia 67 zilizofikiwa ni hatua nzuri lakini bado tuna kazi kubwa ya kufanya, sina shaka na Wakuu wa Mikoa, ujenzi wa madarasa ya mama Samia mlifanya vizuri hivyo naamini na hili operesheni ya Anwani za Makazi mtafanya vizuri”, Amezungumza Bashungwa

Naye Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe amesema kuwa Ofisi ya Rais TAMISEMI kwa kushirikiana na Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wameitisha mkutano huo kwa lengo la kujadili namna wakuu wa mikoa wanavyoendelea kutekeleza maelekezo ya Mhe. Rais ya operesheni maalumu ya Anwani za makazi nchini ambayo imeunganika na maandalizi ya sensa ya watu na makazi itakayofanyika mwezi Agosti mwaka huu.

Akizungumza kwa niaba ya Wakuu wa Mikoa, Mwenyekiti wa Wakuu wa Mikoa nchini, Mhe. John Mongella Mkuu wa Mkoa wa Arusha amesema kuwa operesheni hiyo inaendelea vizuri na itakamilika kwa muda uliopangwa

Aidha, ameishukuru Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kwa kutoa wataalamu kwenda kusaidia utekelezaji wa operesheni hiyo pale panapohitajika ili kuongeza ufanisi hasa kwenye mikoa yenye maeneo makubwa na idadi kubwa ya watu.

About the author

Alex Sonna