Featured โ€ข Kitaifa

MWENYEKITI WA CCM,RAIS WA TANZANIA MHE.SAMIA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU PAMOJA NA HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA JIJINI DODOMA

Written by mzalendoeditor

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM kilichofanyika leo tarehe 31 Machi, 2022 katika Makao Makuu ya Chama White House Jijini Dodoma

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika leo tarehe 31 Machi, 2022 katika Makao Makuu ya Chama White House Jijini Dodoma

Wajumbe mbalimbali wa Kikao cha Kamati Kuu pamoja na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa wakiwa kwenye ukumbi wa Mikutano kwa ajili ya kushiriki vikao hivyo leo tarehe 31 Machi, 2022 katika Makao Makuu ya Chama White House Jijini Dodoma

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo kutoka kwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Shaka Hamdu Shaka kuhusu matayarisho ya Mkutano Mkuu Maalum wa CCM unaotarajiwa kufanyika kesho alipotembelea ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma 

About the author

mzalendoeditor