Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU MAJALIWA ATETA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI AUSTRIA

Written by Alex Sonna

Waziri  Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Austria, Balozi Celestine Mushi, ofisini kwake Mlimwa, jijini Dodoma.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Austria, Balozi Celestine Mushi, ofisini kwake Mlimwa, jijini Dodoma, Machi 30, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

Alex Sonna