KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Tanga, Safia Jongo amesema watu sita wamefariki dunia na wengine kadhaa wamejeruhiwa baada ya gari aina ya fuso lenye namba T239 AFB walilokuwa wakisafiria kuacha njia na kutumbukia kwenye korongo katika eneo la barabara ya Soni/Mombo wilayani Lushoto mkoani humo.

Akizungumza na  leo Machi 29, 2022 Kamanda Safia amesema ajali hiyo imetokea leo asubuhi.

Previous articleUKAME WAUA MIFUGO 92,047 SIMANJIRO
Next articleZAIDI YA WANANCHI 22,000 WA NYANGAO – MTAMA KUPATA MAJI SAFI NA SALAMA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here