Featured Kitaifa

AJALI:WATU SITA WAFARIKI DUNIA TANGA

Written by mzalendoeditor

KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Tanga, Safia Jongo amesema watu sita wamefariki dunia na wengine kadhaa wamejeruhiwa baada ya gari aina ya fuso lenye namba T239 AFB walilokuwa wakisafiria kuacha njia na kutumbukia kwenye korongo katika eneo la barabara ya Soni/Mombo wilayani Lushoto mkoani humo.

Akizungumza na  leo Machi 29, 2022 Kamanda Safia amesema ajali hiyo imetokea leo asubuhi.

About the author

mzalendoeditor