Featured Kitaifa

RAIS DK.MWINYI AJUMUIKA NA WANANCHI WA MOMBASA UNGUJA KATIKA SALA YA IJUMAA

Written by mzalendoeditor

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj.Dk.Hussein Ali Mwinyi akigawa misahafu kwa Waumini wa Dini ya Kiislam iliyotolewa na Taasisi ya Ahmad Mohamed Al –Falasi kwa Waumini wa Masjid Arafa Mombasa Wilaya ya Magharibi “B”Unguja,  baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika msikiti huo 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Masjid Arafa Mombasa Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid hiyo

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kaab (kulia kwa Rais) na (kushoto kwa Rais) aliyekaa katika kiti Sheikh Ahmad Mohamed Al Falasi, Kiongozi wa Taasisi ya Ahmad Mohamed Al Falasi,wakiitikia dua baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Arafa Mombasa Wilaya ya Magharibi “B”Unguja 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhja Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Imamu wa Masjid Arafa Mombasa Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Sheikh. Ali Yunus Mbwana, baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid hiyo 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Waumini wa Dini ya Kiislam wa Masjid Arafa Mombasa Wilaya ya Magharini “B” Unguja baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid hiyo leo 25-3-2022.(Picha na Ikulu)

About the author

mzalendoeditor