Featured Kitaifa

KAMATI YA PAC YATEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA NYUMBA ZA MAKAZI ENEO LA MAGOMENI KOTA AWAMU YA II

Written by mzalendoeditor

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo (TBA), Arch. Daudi Kandoro akiwaelezea wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) kuhusu mradi wa ujenzi wa nyumba za makazi eneo la Magomeni Kota Awamu ya II wakati wajumbe hao walipotembelea na kukagua mradi huo.

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo (TBA), Arch. Daudi Kandoro akiwasilisha maelezo kuhusu mradi wa ujenzi wa nyumba za makazi eneo la Magomeni Kota Awamu ya II kwa wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) wakati wajumbe hao walipotembelea na kukagua mradi huo

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo (TBA), Arch. Daudi Kandoro akiwaonyesha wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) kuhusu mradi wa ujenzi wa nyumba za makazi eneo la Magomeni Kota Awamu ya I wakati wajumbe hao walipotembelea na kukagua mradi huo.

PICHA NA OFISI YA BUNGE

About the author

mzalendoeditor