Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

dedektör

vdcasino giriş

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

palacebet

ultrabet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

jojobet giriş

betebet

gonebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

doeda

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

grandpashabet giriş

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

portobet

dinamobet giriş

casibom

casibom

casibom

casibom

jojobet

casibom

casibom

casibom

casibom

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

starzbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

Featured Kitaifa

TANROADS RUKWA YAFANIKISHA UJENZI WA MADARAJA 13

Written by Alex Sonna

Meneja wa TANROAD Rukwa Mhandisi Mgeni Mwanga (kulia) akiwa na Mwenyekiti wa CCM Rukwa Ndugu Rainer Lukala (kushoto ) wakati wa ukaguzi wa mradi wa ujenzi wa daraja la Kisalala   wilaya ya Sumbawanga lenye urefu wa mita 35 ambalo linajengwa kwa gharama za shilingi Bilioni 1.89 zilizotolewa na Serikali ya Awamu ya Sita. 

Daraja la Kale katika barabara ya Msishindwe -Mambwekenya wilaya ya Kalambo lenye urefu wa mita 25 linaloendelea kujengwa kwa usimamizi wa TARNOAD mkoa wa Rukwa ambalo limegharimu shilingi Bilioni 1.25 zilizolewa na serikali ya Awamu ya Sita. 

Daraja la Kisalala katika barabara ya Laela- Mwimbi-Kizombwe wilaya ya Sumbawanga lenye urefu wa mita 35 linalojengwa kwa gharama ya shilingi Bilioni 1.89 chini ya usimamizi wa Wakala wa Barabara (TANROAD ) mkoa wa Rukwa. 

Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Kisalala wilaya ya Sumbawanga Keria Mwanisawa  pichani ameishukuru serikali kwa kufanikisha mradi wa ujenzi wa daraja la Kisalala amablo ni kiungo muhimu cha usafirishaji mazao ya wakulima.

********************

Na. OMM Rukwa

Serikali ya Awamu ya Sita katika kipindi chake cha mwaka mmoja tangu kuingia madarakani kupitia Wakala wa Barabara (TANROADs) umefanikiwa kutekeleza kazi za matengenezo ya dharura ikiwemo madaraja 13 katika barabara za mkoa wa Rukwa.

Akizungumza na waandishi wa habari jana wakati wa ukaguzi wa barabara  katika kijiji cha Muze kilichopo katika Bonde la Ziwa Rukwa Wilaya  Sumbawanga (22 Machi,2022) Kaimu Meneja wa TANROADS Mkoa wa Rukwa Mhandisi Mgeni Mwanga alisema Serikali ilitoa shilingi 13,864,528,000/- katika mwaka wa fedha 2021/22.

 Mafanikio hayo yamekuja ikiwa ni jitihada za serikali kufanya matengenezo ya dharura katika barabara za Rukwa ikiwemo ile ya Kasansa –Muze –Kilyamatundu iliyopo ukanda wa Ziwa Rukwa yenye urefu wa kilometa 179 ambayo iko chini ya Wakala wa Barabara (TANROAD) hatua iliyofanya ipitike bila shida kipindi chote cha mwaka.

“Rais Samia Suluhu Hassan amefanikisha upatikanaji wa fedha katika bajeti ya mwaka 2021/22 kwa ajili ya matengenezo ya dharura ya miundombinu ya barabara ambapo tulifanikiwa kujenga madaraja 13 katika barabara za mkoa wa Rukwa” alisema Mhandisi Mgeni.

Mhandisi Mgeni aliongeza kusema miradi hiyo ya ujenzi imefanyika kwa kutumia wakandarasi wazawa hatua inayosaidia kukuza uchumi wa mkoa na Taifa.

Katika hatua nyingine TANROAD imesema serikali iko katika mpango wa ujenzi wa barabara ya Ntendo –Kazungu yenye  umbali wa kilometa 25 na barabara ya Kazungu –Muze  yenye urefu  wa kilometa   12 kwa kiwango cha lami ambapo ujenzi utaanza mwaka wa fedha 2022/23.

Akizungumzia umuhimu wa barabara  ya ukanda wa Ziwa Rukwa Diwani wa Kata ya Zimba tarafa ya Mtowisa ,Ephraim Konta alisema kukamilika kwa miundombinu ya ikiwemo daraja la Lwanji kumesaidia kurahisisha shughuli za kiuchumi kwani mazao yanafika sokoni yakiwa katika ubora .

Diwani huyo aliongeza kusema anaomba serikali kutoa elimu kwa wananchi kuhusu kutofanya shughuli za kilimo na Mifugo katika kingo za mito hatua itakayosaidia madaraja kuwa imara na mito kutokana hama.

Naye Mwenyekiti wa Kijiji cha Solola halmashauri ya wilaya ya Sumbawanga, Godfrey Tanganyika alishukuru serikali kwa kujenga daraja lililokuwa kikwazo cha kuunganisha kijiji hicho na kijiji cha Ilemba kufuatia mvua kusababisha mto kuhama.

“Tunashukuru serikali kwa kujenga daraja hili pia tunamwomba Rais Samia atuwekee lami katika barabara hii ya ukanda wa Ziwa Rukwa kwani ndio barabara kubwa iliyobaki bila lami” alisema Tanganyika.

Nao wanafunzi Felista Zuberi na Elizabeth Nasri wa kidato cha nne shule ya sekondari Mazoka iliyopo kata ya Muze walisema kukamilika kwa ujenzi wa daraja la Muze kumesaidia waweze kuwa na uhakika wa kuhudhuria masomo muda wote ikiwemo kipindi cha masika.

“Tulikuwa tukikosa masomo kipindi mto huu ulipokuwa ukijaa na njia kukatika kwani tunaishi Muze na shule iko upande wa pili kijiji cha Mazoka kata ya Mbwilo” alisema Felista mwenye umri wa miaka 18.

Wakala wa Barabara (TANROAD) Mkoa wa Rukwa unaendelea na kazi ya kusimamia mtandao wa barabara Kuu za lami zenye urefu wa kilometa 415 .86 kati yake za lami kilometa 298.35 na za changarawe kilometa 117  huku ikisimamia barabara za mkoa zenye urefu wa kilometa 834.98 kati ya hizo za lami ni kilometa 76.83 na za changarawe ni kilometa 758.15

About the author

Alex Sonna