Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

starzbet

starzbet

sekabet

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

holiganbet

betsalvador

jojobet

holiganbet

jojobet

sahabet güncel giriş

grandpashabet güncel

https://www.newstrendline.com/

grandpashabet

ultrabet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

venusbet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

vipslot

vipslot

vipslot

vipslot

realbahis

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

betsat

mariobet, mariobet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

bets10 giriş

grandpashabet

dinamobet giriş

casibom

casibom

casibom

casibom

jojobet

casibom

casibom

casibom

casibom

casibom

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis giriş

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

holiganbet

uyuşturucu satın al

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

kafacasino

betface

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

maxwin

sahabet

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

nerobet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

starzbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

casino siteleri

jojobet

tubidy

kralbet

Featured Kitaifa

JELA MIEZI SITA KWA UDANGANYIFU WAKATI WA ZOEZI LA USAILI NAFASI ZA UHANDISI UJENZI

Written by Alex Sonna

Mahakama ya Wilaya ya Dodoma imewatia hatiani waombaji kazi wawili Mabula Edward Kanga pamoja na Joel Johnson Kimatare baada ya kufanya udanganyifu wakati wa zoezi la usaili kwa nafasi za Uhandisi Ujenzi uliofanyika  tarehe 08 Mei, 2021 katika Ukumbi Wa Chuo Kikuu cha UDOM. 

Kutokana na umakini unaofanywa na Watumishi wa Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma wakati wa uratibu wa michakato ya ajira,  walifanikiwa kumkamata msailiwa Joel Johnson Kimatare ambaye alifika katika eneo hilo kwaajili ya kumfanyia usaili Bwana Mabula Edward Kanga. 

Mabula Edward Kanga aliitwa kufanya usaili 8/5/2021 uliofanyika katika Chuo Kikuu cha Dodoma kwa nafasi ya Mhandisi-Ujenzi kwaajili ya taasisi ya Watumishi Housing Company na badala yake akamtuma Joel Johnson Kimatare kumfanyia usaili huo akitambua ni kosa kisheria. Ndugu Joel Johnson Kimatare alipofika kufanya usaili, alikaguliwa vyeti na kuhurusiwa kuingia ndani ya chumba cha usaili wa kuandika na kwa makusudi alikwenda kukaa pasipo kujisajili kwenye orodha ya wasailiwa akihofia kukamatwa. 

Baada ya usaili, maofisa wa Sekretarieti ya Ajira walihakiki idadi ya wasailiwa waliojisajili kabla ya usaili na idadi ya wasailiwa baada ya usaili nakubaini uwepo wa msailiwa mmoja ambaye hakuwa amejisajili. Maofisa hao walimtaka msailiwa ambaye hakuwa amejiandikisha asimame ili ahudumiwe na ndipo Bwana JoelJ ohnson Kimatare alisimama na kujitambulisha kwa jina la Mabula Edward Kanga. Alipotakiwa kutoa vyeti vyake na kitambulisho, ndipo ikabainika kuwa yeye anaitwa Joel Johnson Kimatare na sio Mabula Edward Kanga. Baada ya kukamatwa, mtuhumiwa Joel Johnson Kimatare alichukuliwa naj eshi la polisi na kufunguliwa kesi iliyohitimishwa tarehe 28 Februari, 2022 katika mahakama ya Wilaya ya Dodoma kwa kuwatia hatiani watuhumiwa wote wawili.

Kesi hiyo ya jinai Na. 46 ya Mwaka 2021 ilifunguliwa kwenye Mahakama ya Wilaya ya Dodoma tarehe 16 Mei 2021 mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi D.J Mpelembwa na watuhumiwa walikutwa na hatia baada ya mahakama kujiridhisha na maelezo ya mashahidi na vielelezo vilivyowasilishwa mahakamani.

Akitoa ushahidi wake, Naibu Katibu anayesimamia masuala ya TEHAMA na ambaye kwasasa ni Kaimu Katibu wa Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma Mhandisi Samwel Tanguye aliieleza mahakama kuwa yeye ni Msimamizi wa Mfumo wa Ajira portal ambao umemtambua Mabula Edward Kanga kuwa ndiye aliyeomba kazi za Uhandisi Ujenzi kwaajili ya Watumishi Housing company na kwamba namba ya usaili ilitumwa kwenye akaunti yake. Hivyo, nidhahili kuwa wawili hao waliwasiliana ili kuweza kupeana namba za usaili ambazo Joel Johnson Kimatare alizitumia wakati wa usaili wa kuandika. Pia, Afisa Utumishi wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma Bwana Ally Mnyimwa aliieleza mahakama  kuwa, alimruhusu Ndg. Joel Johnson Kimatare kuingia ndani ya chumba cha usaili baada ya kumkagua vyeti mlangoni kabla ya Joel kuwakwepa maofisa waliokuwa wakikagua vitambulisho kabla ya kuwasainisha kwenye karatasi ya mahudhurio na kwenda kuketi kusubiri kufanya usaili wa kuandika.

Baada ya Mahakama  kuwatia hatiani watuhumiwa wote wawili, Mwendesha mashtaka wa Serikali Mhe. Meshack Lyabonga aliiomba mahakama kutoa adhabu kali kwawatuhumiwa ili iwe fundisho kwa wengine kwani vitendo hivyo vinatia aibu kwa vijana wasomi katika jamii yetu.

Katika kesi hiyo, Washitakiwa wote wawili walikiri kufanya makosa hayo nakuiomba mahakama iwasamehe kwakuwa ilikuwa ni mara yao ya kwanza kufanya kosa hilo.  Mtuhumiwa wa kwanza ambaye ni Mabula Edward Kanga baada ya kutiwa hatiani, aliiomba mahakama imhurumie kwani anao watoto wane na wote wakimtegemea na mtuhumiwa wa pili Joel Johnson Mabula aliiomba mahakama imruhumie kwani alikuwa akimuuguza mama yake mzazi.

Tarehe 28/02/2022 Mahakama ya Hakimu Mkazi Mwandamizi Dodoma ilitoa hukumu ya kifungo cha nje miezi sita kwa washitakiwa wote wawili. Aidha, Hakimu Mkazi Mwandamizi D.J Mpelembwa amewataka kutokufanya makosa ndani ya kipindi hicho cha miezi sita tangu kutolewa kwa hukumu hiyo. 

Kaimu Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma Mhandisi Samwel Tanguye amewaasa waombaji fursa za ajira nchini kuacha tabia ya udanganyifu wakati wa michakato ya ajira kwani inaweza kuwaondolea sifa za kuajiriwa ndani ya utumishi wa umma. Kwa mujibu wa Kaimu Katibu huyo, Ndg.Mabula Edward Kanga na Joel Johnson Kimatare wamepoteza sifa za kuajiriwa katika Utumishi wa Umma. 

About the author

Alex Sonna