Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

starzbet

starzbet

sekabet

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

sahabet güncel giriş

grandpashabet güncel

https://www.newstrendline.com/

palacebet

ultrabet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

venusbet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

vipslot

vipslot

vipslot

vipslot

realbahis

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

betsat

mariobet, mariobet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

bets10 giriş

grandpashabet

dinamobet giriş

casibom

casibom

casibom

casibom

jojobet

casibom

casibom

casibom

casibom

casibom

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis giriş

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

holiganbet

uyuşturucu satın al

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

kafacasino

betface

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

maxwin

sahabet

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

gorabet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

starzbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

casino siteleri

casibom

tubidy

kralbet

Girne Escort

Featured Kitaifa

MAKAMU WA RAIS DKT.MPANGO ATETA NA WATUMISHI WA MUUNGANO NA MAZINGIRA

Written by Alex Sonna
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwasili Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mtumba Jijini Dodoma kwaajili ya kuzungumza na watumishi wa Wizara hiyo leo tarehe 23 Machi 2022.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akizungumza na watumishi wa Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, mazungumzo yaliofanyika Ofisi ya Wizara hiyo Mtumba Jijini Dodoma leo tarehe 23 Machi 2022.
 
*******************
 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mheshimiwa Dkt. Philip Mpango leo tarehe 23 Machi 2022 amekutana na kufanya mazungumzo na watumishi wa Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, mazungumzo yaliofanyika Ofisi ya Wizara hiyo Mtumba Jijini Dodoma.
 
Katika mazungumzo hayo Makamu wa Rais alipokea changamoto mbalimbali zinazowakabili watumishi hao pamoja mapendekezo na maoni ya watumishi ya namna bora ya kutekeleza majukumu ya wizara hiyo yenye dhamana ya Mazingira na Muungano hapa nchini.
 
Akizungumza na watumishi hao, Makamu wa Rais amewataka kufanya kazi kwa bidii, nidhamu pamoja na kufuata kanuni na maadili ya Utumishi wa umma wakati wote wanapotekeleza majukumu yao. Aidha amewataka kuwa na ushirikiano na Ofisi pamoja na Wizara zingine ili kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi zaidi.
 
Amesema wajibu wa Wizara hiyo ni kuhakikisha inalinda na kudumisha Muungano hivyo amewataka watumishi hao kushiriki vikao vya kamati ya pamoja vyote kama ilivyopangwa na kutatua changamoto zinazojitokeza pamoja na kuimarisha yale mazuri yote yanayohusu Muungano.
Ameiagiza Wizara hiyo kuhakikisha inaongeza kasi ya utoaji elimu ya muungano kuanzia shule za msingi mpaka vyuo vikuu, kwa watumishi wa serikali pamoja na jamii kwa ujumla.
Amesema jamii inapaswa kutambua sifa nzuri za muungano na kuitaka wizara kutumia njia mbalimbali ikiwemo mitandao ya kijamii pamoja na Sanaa.
 
Halikadhalika amewataka watumishi wa idara ya mazingira kuhakikisha wanasimamia kikamilifu suala la mazingira ikiwemo upandaji miti pamoja na usafi wa mazingira.
Amesema matatizo kama yaliojitokeza mto Mara hivi karibuni na kusababisha vifo vya viumbe hai katika mto huo yanapswa kutambulika mapema kufuatia ufuatiliaji wa karibu wa mazingira.
 
 Amewataka watumishi wa wizara hiyo kuwa wa mfano katika suala la upandaji miti na kuwataka kuchukua hatua binafsi za utunzaji mazingira katika maeneo wanayoishi.
 
Pia Makamu wa Rais amewataka kuendelea kufuatilia maazimio ya kimataifa pamoja kuongeza ushirikiano na wadau wa mazingira, sekta binafsi, taasisi za kimataifa , dini pamoja na taasisi za fedha ili kupata teknolojia rahisi pamoja na upatikanaji wa fedha utakaowezesha kutekeleza program mbalimbali za mazingira.
 
Awali akimkaribisha Makamu wa Rais kuzungumza na watumishi hao, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Dkt. Selemani Jafo amesema Wizara itaendelea kuwa kioo katika suala la muungano na ajenda ya utunzaji mazingira pamoja na na tayari mafanikio yameanza kuonekana ikiwemo wananchi mbalimbali kuanza uuzaji na upandaji wa miti katika maeneo yao.

About the author

Alex Sonna