Uncategorized

SPIKA DKT. TULIA ALIHUTUBIA BUNGE LA UMOJA WA MABUNGE DUNIANI (IPU) BALI NCHINI INDONESIA

Written by mzalendoeditor

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akilihutubia Bunge la Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) mbele ya Wajumbe wa Umoja huo katika Mkutano wa 144 wa IPU unaoendelea leo Machi 22, 2022 katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Bali nchini Indonesia.

Wajumbe wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) wakiwa katika Mkutano wa 144 wa Umoja huo wakisikiliza hotuba mbalimbali za Maspika zikiwasilishwa leo Machi 22, 2022 katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Bali nchini Indonesia.

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

About the author

mzalendoeditor