Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

runtobet

runtobet giriş

1xbet

matbet, matbet giriş

betebet

jojobet

avrupabet

elitbahis

casival

celtabet

avrupabet

betlivo

parmabet

betnis

parmabet

betmarino

realbahis

lordcasino

lordcasino

aresbet

betra

gallerbahis

gobahis

hazbet

matbet

betra

luxbet

betmarino

celtabet

casival

luxbet

millibahis

betlivo

betcool

realbahis

gallerbahis

millibahis

gobahis

betnis

coinbar

jojobet

holiganbet, holiganbet giriş

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

casibom

betewin

interbahis

casinofast giris

mislibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

jojobet

pusulabet

betbox

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

casibom

grandpashabet

jojobet

holiganbet

jojobet

betsat giriş

betsat giriş

jojobet

tambet

ultrabet

mislibet

mavibet güncel giriş

setrabet

pulibet

perabet

timebet

jojobet

jojobet giriş

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

vipslot

vipslot

betcool

celtabet

hazbet

mavibet giriş

mislibet giriş

mavibet güncel giriş

mavibet

piabellacasino

mavibet

mislibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

mislibet

mavibet giriş

mislibet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

betsat

betyap, betyap giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betpark

betsat

dinamobet giriş

casibom

casibom

jojobet

casibom

casibom

grandpashabet

grandpashabet

jojobet

jojobet

jojobet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

meritking

marsbahis giriş

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

betpas

royalbet

Betpas

betface

betface

piabellacasino giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

jojobet

jojobet

Featured Kitaifa

SERIKALI YAKABIDHI RASMI KIWANDA CHA CHAI MPONDE KWA WCF, PSSSF

Written by Alex Sonna

Msajili wa Hazina, Mgonya Benedicto akisaini nyaraka wakati wa makabidhiano ya Kiwanda cha Chai Mponde yaliyofanyika jana jijini Dodoma kati ya Serikali na Kampuni ya Mponde Holding inayomilikiwa na Mifuko ya Hifadhi ya Jamii ya WCF na PSSSF ambazo kila moja ina hisa asilimia 42 wakati Serikali inamiliki asilimia 16 zinazosimamiwa na Msajili wa Hazina. Aliyesimama ni Mwanasheria katika Ofisi ya Msajili wa Hazina, Asimuna Kipingu.

Msajili wa Hazina, Mgonya Benedicto akimshuhudia Mjumbe wa Bodi wa Kampuni ya Mponde Holding, Paul Kijazi akisaini nyaraka za makabidhiano ya Kiwanda cha Chai Mponde kilichokuwa kimefungwa kwa takribani miaka 10, lakini sasa kiko mbioni kuanza uzalishaji baadhi ya kuchukuliwa na kampuni hiyo inayomilikiwa na Mifuko ya Hifadhi ya Jamii ya WCF na PSSSF kwa asilimia 42 kila moja huku Serikali ikiwa na asilimia 16 zinazosimamiwa na Msajili wa Hazina. Makabidhiano hayo yalifanyika jana jijini Dodoma. Wengine wanaoshuhudia pichani ni Mwanasheria katika Ofisi ya Msajili wa Hazina, Asimuna Kipingu (aliyesimama) na Mkurugenzi Mkuu wa WCF, Dk John Mduma.

Msajili wa Hazina, Mgonya Benedicto (kushoto) akikabidhi nyaraka za umiliki wa Kiwanda cha Chai Mponde kwa Mjumbe was Bodi ya Kampuni ya Mponde Holding, Paul Kijazi wakati wa hafla fupi ya makabidhiano ya kiwanda, mali na nyaraka. Kiwanda hicho ambacho kilifungwa kwa tarikabni miaka kumi, kwa sasa kinamilikiwa na Kampuni ya Mponde Holding, mali ya WCF na PSSSF zenye asilimia 42 kila moja na Serikali ambayo ina hisa 16 zinazosimamiwa na Msajili wa Hazina.

Msajili wa Hazina, Mgonya Benedicto (katikati) akisoma maelezo ya awali kwa viongozi mbalimbali waliohudhuria hafla fupi ya makabidhiano ya Kiwanda cha Chai Mponde jana jijini Dodoma. Kushoto kwa Msajili wa Hazina ni Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Fidia kwa Wanyakazi (WCF), Dk John Mduma (kushoto) na Fortunatus Magambo, Mkurugenzi wa Mipango na Uwekezaji wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF). Wengine kulia kwa Msajili wa Hazina ni Mohamed Nyasama, Mkurugenzi wa Ubinafsishaji katika Ofisi ya Msajili wa Hazina, Mkurugenzi Mkuu wa PSSSF, Hoseah Kashimba na Mjumbe wa Bodi ya Kampuni ya Mponde Holding inayomilikiwa na WCF na PSSSF, Paul Kijazi. Mbali ya WCF na PSSSF zenye asilimia 42 kila moja, Serikali pia ni mmiliki katika kiwanda hicho, ikiwa na asilimia 16 zinazosimamiwa na Msajili wa Hazina.

Msajili wa Hazina, Mgonya Benedicto,akizungumza mara baada ya makabidhiano ya kiwanda ikiwa ni pamoja na hati, mali na nyaraka mbalimbali yalifanyika jana jijini Dodoma .

Msajili wa Hazina, Mgonya Benedicto (kushoto) akiwa na Mkurugenzi wa Ubinafsishaji katika Ofisi ya Msajili wa Hazina, Mohamed Nyasama na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), Hoseah Kashimba muda mfupi kabla ya makabidhiano ya Kiwanda cha Chai Mponde jana jijini Dodoma. Kiwanda hicho kinamilikiwa na Kampuni ya Mponde Holding, mali ya WCF na PSSSF zenye asilimia 42 kila moja na Serikali ambayo ina hisa 16 zinazosimamiwa na Msajili wa Hazina.

Msajili wa Hazina, Mgonya Benedicto (katikati) akijadiliana jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Fidia kwa Wanyakazi (WCF), Dk John Mduma (kushoto) na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF), Hoseah Kashimba muda mfupi kabla ya makabidhiano ya Kiwanda cha Chai Mponde kilichokuwa kimefungwa kwa takribani miaka 10, lakini sasa kiko mbioni kuanza uzalishaji baadhi ya kuchukuliwa na WCF na PSSSF kwa hisa asilimia 42 kila moja huku Serikali ikiwa na asilimia 16 zinazosimamiwa na Msajili wa Hazina. Makabidhiano hayo yalifanyika jana jijini Dodoma. 

(Picha na Ofisi ya Msajili wa Hazina).

………………………………………………….

*Uzalishaji kuanza haraka, ajira kurejea baada ya miaka 10

Na Mwandishi Wetu, Dodoma

BAADA ya kushindwa kufanya kazi kwa takribani miaka kumi kutokana na sababu mbalimbali, hatimaye Serikali kupitia Ofisi ya Msajili wa Hazina imekabidhi Kiwanda cha Chai Mponde kwa Kampuni ya Mponde Holding inayomilikiwa na Mifuko ya Hifadhi ya Jamii ya WCF na PSSSF iliyoomba kufanya uwekezaji na kuendeleza kiwanda hicho.

Mifuko hiyo inamiliki hisa asilimia 84, kila mmoja ukiwa na asilimia 42 wakati asilimia nyingine 16 zinamilikiwa na Serikali kupitia Ofisi ya Msajili wa Hazina.

Makabidhiano ya kiwanda ikiwa ni pamoja na hati, mali na nyaraka mbalimbali yalifanyika jana jijini Dodoma kati ya Msajili wa Hazina, Mgonya Benedicto kwa niaba ya Serikali na mwakilishi wa Mponde Holding Company ambaye pia ni Mkurugenzi wa Bodi ya Kampuni hiyo, Paul Kijazi. Mkurugenzi Mkuu wa PSSSF CPA Hoseah Kashimba na mwenzake wa WCF, Dk John Mduma PSSSF, walikuwa miongoni mwa walioshuhudia makabidhiano hayo.

Akizungumza wakati wa makabidhiano hayo, Mgonya alisema Serikali imeona vyema mali na nyaraka zikakabidhiwa kwa uongozi wa Kampuni ili kuruhusu baadhi ya mambo muhimu yaliyohitaji nyaraka hizo kuendelea ili hatimaye shughuli za uzalishaji ziweze kuanza mara moja.

“Ofisi yangu inatoa shukrani za dhati kwa Bodi ya Kampuni ya Mponde Holding pamoja na Uongozi wa Mifuko ya PSSSF na WCF kwa ushirikiano na jitihada kubwa mnazofanya katika kuhakikisha kiwanda cha Mponde kinarejea katika kuzalisha na hatimaye wananchi wapate ajira tena baada ya muda mrefu kupita.

“Ofisi yangu itaendelea kutoa ushirikiano stahiki kila itakapohitajika kwa lengo la kuhakikisha madhumuni yaliyokusudiwa katika kufufua kiwanda cha Mponde yanafikiwa,” alisema Msajili wa Hazina.

  

Kiwanda hicho kilifungwa tangu mwaka 2013, baada ya mwekezaji katika Kiwanda cha Chai cha Mponde – Umoja wa Wakulima wa Chai Usambara (UTEGA – Usambara Tea Glowers Association) kukiuka masharti ya ubinafsishaji na Serikali kujiridhisha pasipo shaka kwamba, mwekezaji huyo hakuwa na mpango wala nia ya dhati ya kukiendeleza kiwanda hicho.

Kutokana na hali hiyo, Serikali iliamua kukirejesha kiwanda kama Mkataba unavyoelekeza. Urejeshaji wa kiwanda hicho ulifanyika Januari, 2016. 

Mbali na Hati na nyaraka, Msajili wa Hazina pia amekabidhi magari matatu mali ya kiwanda hicho.

Akizungumza baada ya kukabidhiwa kiwanda, mali na nyaraka hizo, Mjumbe wa Bodi ya Mponde Holding, Paul Kijazi aliishukuru Serikali kwa uamuzi wa kuwakabidhi kiwanda huku akiahidi kufanya kila linalowezekana kufikia malengo katika uwekezaji wao unaotarajiwa kuleta manufaa mbalimbali ikiwa ni pamoja na ajira, kuendeleza zao la chai na pia kuchangia katika ukuaji wa pato la taifa.

About the author

Alex Sonna