Uncategorized

MAMA JANETH MAGUFULI AHUDHURIA MISA MAALUM YA KUMUENZI DKT.MAGUFULI KANISA KATOLIKI LA KAWEKAMO JIJINI MWANZA

Written by mzalendoeditor

Mama Janeth Magufuli, mjane wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, akiwasili katika kanisa la Kawekamo jijini Mwanza kuhudhuria Misa Maalumu ya kumbukizi ya mwaka mmoja wa kifo cha mumewe 

Mama Janeth Magufuli, mjane wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, akipokea Komunyo Takatifu toka kwa Askofu Mkuu Jimbo la Kuu Mwanza Askofu Renatus Leonard Nkwande aliyeongoza Misa Maalumu ya kumbukizi ya mwaka mmoja wa kifo cha Dkt. Magufuli 

Mama Janeth Magufuli, mjane wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, akiwasili katika kanisa la Kawekamo jijini Mwanza kuhudhuria Misa Maalumu ya kumbukizi ya mwaka mmoja wa kifo cha marehemu mumewe leo  Jumapili Machi 2022. Pamoja naye ni Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi ambaye pia ni Mbunge wa Ilemela Mhe. Angeline Mabula, Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana Mhe. Amina Makilagi, Katibu Tawala Mkoa wa Mwanza Mhe. Ngusa Samike na Mwenyekiti wa Baraza la vyama vya Siasa Mhe. John Magale Shibuda.

Mama Janeth Magufuli, mjane wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, akitoa sadaka katika kanisa la Kawekamo jijini Mwanza alipohudhuria Misa Maalumu ya kumbukizi ya mwaka mmoja wa kifo cha mumewe l

Mama Janeth Magufuli, mjane wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, akimshukuru Askofu Mkuu Jimbo la Kuu Mwanza Askofu Renatus Leonard Nkwande aliyeongoza Misa Maalumu ya kumbukizi ya mwaka mmoja wa kifo cha Dkt. Magufuli

Mama Janeth Magufuli, mjane wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, akipata picha ya pamoja na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza Askofu Renatus Leonard Nkwande, viongozi mbalimbali na mapadre na watawa baada ya Misa Maalumu ya kumbukizi ya mwaka mmoja wa kifo cha Dkt. Magufuli

Mama Janeth Magufuli, mjane wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, akiaga baada ya kuhudhuria Misa Maalumu ya kumbukizi ya mwaka mmoja wa kifo cha Dkt. Magufuli  

Mama Janeth Magufuli, mjane wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, akiwa pamoja na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza Askofu Renatus Leonard Nkwande akitembezwa sehemu aliyofikia Baba Mtakatifu Yohane Paulo ll mwaka 1990 katika kanisa la Kawekamo jijini Mwanza baada ya Misa Maalumu ya kumbukizi ya mwaka mmoja wa kifo cha Dkt. Magufuli 

Mama Janeth Magufuli, mjane wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, katika picha ya kumbukumbu pamoja na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza Askofu Renatus Leonard Nkwande na kiti alichokalia Baba Mtakatifu Yohane Paulo ll alipotembelea kanisa la Kawekamo jijini Mwanza mwaka 1990, ikiwa ni  baada ya Misa Maalumu ya kumbukizi ya mwaka mmoja wa kifo cha Dkt. Magufuli 

Mama Janeth Magufuli, mjane wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, akiagana na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza Askofu Renatus Leonard Nkwande baada ya Misa Maalumu ya kumbukizi ya mwaka mmoja wa kifo cha Dkt. Magufuli  katika kanisa la Kawekamo jijini Mwanza leo  Jumapili Machi 2022

Picha na Muhidin Issa Michuzi

About the author

mzalendoeditor