Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet

superbetin

superbetin

porno izle

porno izle

türk ifşa izle

evcil hayvan satış

uyuşturucu satın al

runtobet

runtobet giriş

1xbet

avrupabet, avrupabet giriş

gameofbet

jojobet

avrupabet

elitbahis

casival

celtabet

avrupabet

betlivo

parmabet

betnis

parmabet

betmarino

realbahis

lordcasino

lordcasino

aresbet

betra

gallerbahis

gobahis

hazbet

matbet

betra

luxbet

betmarino

celtabet

casival

luxbet

millibahis

betlivo

betcool

realbahis

gallerbahis

millibahis

gobahis

betnis

bungalov kiralama

kiralık bungalov

alobet, alobet giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu

betpas

betcup

casinofast giris

artemisbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

jojobet

pusulabet

betbox

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

avrupabet giriş

kingroyal

avrupabet

jojobet güncel giriş

marsbahis

bets10

betsat

jojobet

tambet

padişahbet giriş

mavibet

kavbet

setrabet

betpas

perabet

ibizabet

deneme bonusu veren siteler

sapanca bungalov kiralama

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

vipslot

vipslot

betcool

celtabet

hazbet

cratosroyalbet giriş

betlike giriş

kavbet giriş

cratosroyalbet

mavibet

mavibet

artemisbet giriş

imajbet

mavibet giriş

betlike

mavibet giriş

mavibet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

betsat

pokerklas, pokerklas giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betpark

bets10 giriş

dinamobet giriş

betpas

grandpashabet

casibom

grandpashabet

casibom

jojobet

jojobet

betpas

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

betmarino

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

jojobet

marsbahis giriş

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

kingroyal

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

betpas

royalbet

imajbet

betface

betface

imajbet giriş

casibom

deneme bonusu

Featured Kitaifa

DKT.MPANGO AMUWAKILISHA RAIS KATIKA IBADA YA SHEREHE YA JUBILEI YA DHAHABU YA MIAKA 50

Written by Alex Sonna

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Mhashamu Askofu Method Kilaini ambaye ni Askofu Msaidizi Jimbo Katoliki la Bukoba kabla ya kuanza kwa Ibada ya shukrani ya  Jubilei ya dhahabu ya miaka 50 ya Upadre wa Mhashamu Askofu Method Kilaini leo tarehe 19 Machi 2022 Bukoba Kagera.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akishiriki Ibada ya shukrani ya  Jubilei ya dhahabu ya miaka 50 ya Upadre wa Mhashamu Askofu Method Kilaini iliofanyika Kanisa Kuu Katoliki wilayani Bukoba mkoani Kagera leo tarehe 19 Machi 2022.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akizungumza na viongozi wa dini, waumini na viongozi wa serikali mara baada ya  Ibada ya shukrani ya  Jubilei ya dhahabu ya miaka 50 ya Upadre wa Mhashamu Askofu Method Kilaini iliofanyika Kanisa Kuu Katoliki wilayani Bukoba mkoani Kagera leo tarehe 19 Machi 2022.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango na mkewe Mama Mbonimpaye Mpango wakimkabidhi zawadi Mhashamu Askofu Method Kilaini mara baada ya kushiriki Ibada ya shukrani ya  Jubilei ya dhahabu ya miaka 50 ya Upadre wa Askofu Kilaini iliofanyika Kanisa Kuu Katoliki wilayani Bukoba mkoani Kagera leo tarehe 19 Machi 2022.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akiagana na Mhashamu Askofu Method Kilaini ambaye ni Askofu Msaidizi Jimbo Katoliki la Bukoba mara baada ya  Ibada ya shukrani ya  Jubilei ya dhahabu ya miaka 50 ya Upadre wa Mhashamu Askofu Method Kilaini leo tarehe 19 Machi 2022 Bukoba Kagera.

**********************

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango leo tarehe 19 Machi 2022 amemwakilisha Rais Samia Suluhu Hassa katika Ibada na sherehe ya Jubilei ya dhahabu ya miaka 50 ya Upadre wa Mhashamu Askofu Method Kilaini ambaye ni Askofu Msaidizi Jimbo Katoliki la Bukoba. Ibada hiyo imefanyika katika kanisa kuu katoliki wilayani Bukoba mkoani Kagera.

Akizungumza mara baada ya ibada hiyo, Makamu wa Rais amesema Serikali inatambua na kushukuru kwa  mchango wa Baba Askofu Kilaini katika Kanisa na pia kwa jamii ya Watanzania. Amemtaja Askofu Kilaini kama   miongoni mwa waanzilishi wa Kamati ya Amani ya Viongozi wa Dini (1994) ambayo imeimarisha maelewano miongoni mwa waumini wa dini na madhehebu mbalimbali hapa nchini.

Aidha amelipongeza na kulishukuru Kanisa Katoliki kwa kuunga mkono juhudi za Serikali na kwa kutoa mchango mkubwa katika ustawi wa Taifa kiroho, kiuchumi na kijamii. Amesema Kanisa limeweza kufikisha huduma za kijamii katika maeneo mbalimbali nchini, yakiwemo yale ambayo Serikali bado haijaweza kufikisha huduma hususani vijijini na maeneo wanakoishi watu wa hali ya chini mijini. Aidha amelipongeza kanisa kwa kuendelea kuhudumia  yatima na watoto wanaoishi katika mazingira magumu.

Makamu wa Rais amesema serikali imejielekeza katika kuboresha na kujenga miundombinu ya usafiri na usafirishaji, miundombinu ya Elimu, afya na maji katika mkoa wa Kagera  ili kuweka mazingira mazuri ya kuvutia wawekezaji wa ndani na nje, kwenye viwanda vya kuchakata mazao ya kilimo na uchimbaji wa madini kama mgodi wa Nikel Kabanga na kufungua fursa za biashara na ajira hivyo kuwaasa wananchi wa Kagera kutumia fursa hizo kukuza uchumi wao.

Halikadhalika Dkt. Mpango ameliasa kanisa  kufundisha na kulea vijana katika maadili mema na kuthamini kufanya kazi halali. Amesema katika  nyakati hizi, kuna ongezeko la mmomonyoko mkubwa wa maadili katika jamii ikiwemo ulevi, vitendo vya rushwa, uvivu, wizi na ufisadi, mauaji ya kutisha na idadi kubwa ya ndoa kuvunjika na kuongezeka kwa watoto wa mitaani.

Pia Makamu wa Rais amewaasa viongozi wa Kanisa Katoliki na madhehebu mengine yote ya dini kupaza sauti kuhamasisha usafi, ulinzi na uhifadhi wa mazingira.

Kwa upande wake Askofu Method Kilaini ameishukuru serikali kwa ushirikiano iliyompatia kwa kipindi chote cha miaka hamsini ya utumishi wake. Aidha amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa mwaka mmoja wa uongozi wake wenye mafanikio makubwa na kazi nzuri alioifanya. Amesema katika kipindi cha mwaka mmoja wa uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan taifa limeongozwa kwa utu, Amani na mshikamano pamoja na hatua mbalimbali za maendeleo kwa wananchi.

Halikadhalika Askofu Kilaini amewashukuru wananchi wa mkoa wa Kagera kwa kuwa pamoja naye wakati wote wa utumishi wake na kuwaomba kuimarisha umoja, mshikamano , Amani pamoja na kufanya kazi kwa bidii ili kuuletea maendeleo mkoa wa Kagera.

About the author

Alex Sonna