Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

kulisbet giriş

mavibet

kulisbet giriş

mavibet giriş

mavibet

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino giriş

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

meritking

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

spinco

betplay

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

holiganbet

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

Featured Kitaifa

TFS BAGAMOYO YAKAMATA MAGUNIA ZAIDI YA 200 YA MKAA YAKIWA KWENYE MAJAHAZI KUTOROSHWA KWENDA ZANZIBAR

Written by Alex Sonna

Baadhi ya vijana wakiwa wameyabeba magunia ya mkaa wakiyashusha katika jahazi ambayo ilikuwa imeyabeba.

Magunia ambayo ya mkaa zaidi ya 200 yakiwa yanashinshwa katika moja ya jahazi amabayo yamekamatwa yakiwa yanasafirishwa kutoka Wilayani Bagamoyo kuelekea katika visiwa vya Zanzibara kinyume na taratibu za nchi.

Magunia hayo ambayo yamekamatwa Wilayani Bgamoyo yakiwa yanashushwa katika jahazi hilo.

********************************

Na Victor Masangu, Bagamoyo

Wakala wa huduma za misitu Tanzania (TFS) kwa kushirikiana na kamati ya ulinzi na usalama ya Wilaya ya Bagamoyo wamefanikiwa kukamata zaidi ya magunia  200 ya mkaa ambayo yalikuwa yakisafirishwa kinyemela huku yakiwa yamepakiwa kwenye jahazi mbali kwa ajili ya kusafirishwa kwenda visiwani Zanzibar kiunyume kabisa na sheria na taratibu za nchi.

Akizungumza mara baada ya kukamata magunia hayo Afisa misitu msaidizi wa Tfs daraja la pili kutoka Bagamoyo  Mohamed Saimon alibainisha kwamba watahakikisha wanaendelea kufanya misako katika sehemu zote lengo ikiwa ni kuwabaini wale wote ambao wanavuna mazao ya misitu bila kuzingatia sheria pamoja na kukwepo kulipa kodi ya serikali.

“Tumefanikiwa kukamata majahazi mawili ambayo yalikuwa yamepakia zaidi ya magunia yapatayo 200 ambayo yalikuwa yanasafirishwa kinyume kabisa na sheria za nchi na yalikuwa yanapelekwa visiwani Zanzibar kinyume kabisa na taratibu za mazao na misitu na kwamba lengo letu ni kutunza mazingira na sio kuharibu misitu ya asili,”alisema Saimon

Aidha alifafanua kuwa katika kukabiliana na wimbi hili la ukataji wa miti ovyo wataendelea na zoezi la kuwasaka wale wote ambao wanajihusisha na biashara hiyo ili waweze kukwamatwa kwani wanasababisha serikali kukosa mapato kutokana na kukwepa kulipa kodi.

 

Kwa upande wake mhifadhi wa TFS kanda maalumu ya saadani na Bagamoyo amesema kwamba serikali inaendelea kufanya jitihada ili kuhakikisha inadhibiti wimbi la  ukataji wa miti ovyo pamoja na kuweka ulinzi madhubuti ambao utasaidia katika utoroshwaji wa rasilimali misitu na pia watahakikisha wanaendelea kuitunza na kuilinda.

 

Naye Mkuu wa Wilaya  ya Bagamoyo amekemea na kulaani vikali vitendo hivyo vya kufanya magendo katika misuti na kwamba kwamba serikali haitawafumbia macho wale wote ambao watahusika na biashara hiyo ya kufanya uharibifu mkubwa wa mazingira na kuwataka wananchi wote kuachana kabisa mara moja vitendo hivyo na watafanya msako mkali katika bandari zote  ambazo ni bubu.

 “Sisi kama serikali ya Wilaya yetu ya Bgamoyo hatuwezi kufumbia macho kabisa suala hili la biashara za magengo na tutahakikisha vitendo hivyo vyote tunavikomesha kabisa na pia tutafanya oparesheni mbali mbali katika bandari zote bubu ili kuweza kudhibiti hali hii ambayo inafanywa na baadhi ya watu kutuharibia misitu yetu,”alisema Zainab

Katika hatua nyingine aliwawataka watendaji wa vijiji na viongozi mbali mbali kuhakikisha wanatekeleza majukumu yao ipasavyo ikiwa sambamba na kuwabaini na kuwafichua wale wote ambao wanahusika na uharibifu huo wa kukata miti na kuendesha biashara za magendo kinyume kabisa na sheria na taratibu za nchi na kwamba ameahidu kulivalia njuga suala hilo.

About the author

Alex Sonna