Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

mavibet

setrabet

betebet

betebet

gonebet

piabet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

betsat

dinamobet giriş

casibom

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

ultrabet

fixbet

fixbet

casibom

fixbet

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet güncel giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

pokerklas

grandpashabet

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

betsat güncel giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Featured Kitaifa

KAMATI YA BUNGE YA KATIBA NA SHERIA YARIDHISHWA NA MIUNDOMBINU KITUO JUMUISHI CHA KUTOLEA HAKI KANDA YA ARUSHA, WATAKA UTUNZAJI WA MIUNDOMBINU HIYO.

Written by Alex Sonna
Jengo la kituo jumuishi la utoaji haki kanda ya Arusha.
Picha ya pamoja ya kamati ya kudumu ya bunge ya Katiba na sheria pamoja naibu waziri wa Katiba na Sheria Geoffrey Pinda, Jaji mfawidhi wa mahakama kuu kanda ya Arusha Moses Mzuna na baadhi ya watendaji wa mahakama kuu ya Tanzania.
Kaimu mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya bunge ya Katiba na Sheria Emmanuel Mwakasaka akiongea wakati walipotembelea kituo jumuishi cha utoaji haki kanda ya Arusha.
Mbunge wa Jimbo la Arumeru Magharibi Noah Lemburis Saputu  akiongea walipotembelea kituo jumuishi cha utoaji haki kanda ya Arusha.
Mbunge wa Jimbo la Mahonda Kaskazini Unguja Abdullah Ali Mwinyi akiongea kamati hiyo ilipotembelea kituo jumuishi cha utoaji haki kanda ya Arusha.
Mbunge viti maalum upande  wa watu wenye mahitaji maalum mkoa wa Dodoma Khadija Shabani.
Naibu waziri wa Katiba na Sheria Geoffrey Pinda akiongea na kamati ya kudumu ya bunge ya Katiba na Sheria walipotembelea kituo jumuishi cha utoaji haki kanda ya Arusha.
Ni kamati ya kudumu ya bunge ya Katiba na Sheria wakitembelea baadhi ya maeneo katika jengo la kituo jumuishi cha utoaji haki kanda ya Arusha.
………………………………………..
NA NAMNYAK KIVUYO, ARUSHA
Kamati ya kudumu ya bunge ya katiba na sheria imeishauri mahakama ya Tanzania kutunza miundombinu  iliyokwa katika vituo jumuishi vya utoaji haki nchini ikiwa ni pamoja na kutoa matangazo yanapita katika televisheni zilizowekwa katika kuta za mahakama hizo juu ya  kesi kwa lugha ya kiswahili ili wananchi waweze kuelewa.
Aidha kamati hiyo imedhizishwa na ujenzi wa miundombinu katika  vituo hivyo vilivyojengwa kwa ustadi na kuweza kuyafikia makundi yote, ikiwemo tasisi zinazojishughulisha na haki za binadamu, mawakili wa kujitegemea, watu wenye walemavu, wanawake wanaonyosha, watoto pamoja na tasisi nyingine za serikali.
Mbunge viti maalum upande wa watu wenye mahitaji maalum mkoa wa Dodoma Khadija Shabani aliipongeza mahakama hiyo kwani haiokoi muda tuu bali ni pamoja na fedha ambazo wananchi wangezitumia kutoka mahakama moja kwenda nyingine na hayo ndio maendeleo wanayoyataka.
Abdulla Ali Mwinyi mbunge wa Jimbo la Mahonda Kaskazini Unguja  alisema kuwa ameridhishwa na miundombinu iliyowekwa katika mahakama hiyo kwani ni ya kiwango cha kimataifa lakini pamoja na kuwa na kiwango hicho ina sura ya Tanzania kwa kutumia majina na vifaa vya vinavyotengenezwa hapa nchini.
Suma Ikenda Fyandombo mbunge viti maalum mkoa wa Mbeya aliipongeza mahakama hiyo kwa kuona umuhimu wa kuweka chumba maalum Cha kunyonyeshea watoto kwani utamaduni huo unatumika kimataifa lakini pia kwa kutengeneza maeneo maalum kwaajili ya watoto wanaokabiliwa na kesi pamoja na wanaotoa ushahidi katika kesi zinazoendelea.
Eduward Ole Kaita mbunge wa Jimbo la Kiteto alisema  kutokana na ubora wa majengo ya mahakama ya Tanzania ili ilete matokeo ya miundombinu hiyo ni vema   watanzania wapate haki zaidi inayoendana  na ubora huo lakini pia aliishahauri  mahakama kuwa matangazo yanayotolewa katika televisheni zilizopandikwa katika kuta   kuhusiana na kesi zinazoendelea katika majengo hayo yatolewe kwa lugha ya kiswahili ili kusaidia wananchi kuelewa kwa haraka.
Joseph Anania Thadayo mbunge wa Jimbo la Mwanga alisema kuwa mahakama ni moja kati ya mihimili ambayo haina jukwaa la kusemea mambo yake na kwa kuzingatia Kuna watu wachache ambao wanaitangaza Tanzania vibaya kuwa haina demokrasia ambapo mabosesho yaliyofanyika yanapaswa kutangazwa kwani hata tasisi mbalimbali zinazoshighulika na masuala ya haki za binadamu kwasasa wamekuwa sehemu ya mahakama.
“Nchi ambayo haina demokrasia wala utoaji wa haki haiwezi kuwekeza fadha nyingi hivi katika kuboresha miundombinu ya mihimili huu ambao ndio kiini cha utoaji wa haki,” akisoma Thadayo.
Noah Lemburis Saputu mbunge wa Jimbo la Arumeru Magharibi aliishahuru mahakama ya Tanzania kutoa kipaumbele cha ujenzi katika maeneo ambayo wameyakodisha.
Kaimu mwenyekiti wa kamati hiyo Emmanuel Mwakasaka alisema kuwa wao wakiona dosari wanaisema, hawawezi kufumbia macho kwani ndio majukumu yao waliyokabidhiwa kwa niaba ya wabunge wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania katika tasnia hiyo ya katiba na sheria lakini wameridhika na kazi ya utendaji wa mahakama hiyo na mamna ambayo hawamuangushi Mh. Rais Samia Suluhu katika utendaji wao wa kuisimamia tasnia hiyo.
Kwa upande wake Naibu waziri wa Katiba na Sheria Geoffrey Pinda alisema kuwa anashukuru kwa kuwa kile ambacho walikitarajia wameweza kuona kwa macho na wanapotekeleza wajibu wao nje ya kuangalia watu wengine bado wanawaangalia kamati na wabunge wote  kwani ndio wanawapitishia fedha hizo zilizotumika katika ujenzi.
“Nampongeza sana Rais Samia ambaye ndiye mwezeshaji wa haya yote na kwasasa vituo jumuishi vya utoaji haki vipo 6 na tunategemea kuanzisha vingine ili kuwapunguzia watanzania adha ya kutumia gharama kubwa pale watakapohitaji kupata huduma hii,” Alisema Pinda. 
Kwa upande wake Profesa  Elisante ole Gabriel Mtendaji mkuu wa mahakama ya Tanzania alisema kuwa wanalengo la kujenga vituo jumuishi vya utoaji haki 12  pamoja na mahakama za mwanzo 60 ambapo kwa Sasa mahakama hizo ambazo ziko sita nchini.
Alifafanua kuwa manufaa ya mahakama hiyo ni pamoja na kuongeza imani ya mahakama kwa wananchi, inaokoa muda kutokana na mahakama zote kuwepo eneo hilo, inaepusha mrundikano,pamoja na kuongeza hari ya utendaji.
Hata hivyo vituo hivyo vimejengwa katika mikoa ya Arusha, Morogoro, Dodoma, Mwanza na mkoa wa Dar es salaam katika wilaya ya Kinondoni na Temekea ambapo kila moja imegharimu shilingi bilioni 8 na katika kuhakiki thamani ya fedha wamefanikiwa kuokoa zaidi ya bilioni 3.

About the author

Alex Sonna