Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango leo tarehe 17 Machi 2022 akiwasili katika uwanja wa ndege wa Geita uliopo Wilaya ya Chato kushiriki Kumbukizi ya Mwaka mmoja wa Hayati Dkt. John Magufuli, aliyekuwa Rais wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. 

Previous articleAKAMATWA KWA ‘KUMFANYIA’ BABA YAKE MTIHANI WA KITAIFA
Next articleSHILINGI BILIONI 2 KUMALIZA KERO YA MAJI MKONGO NA MASUGURU

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here